Julius Mtatiro: Profesa Kitila ni msaliti?

Joined
Jun 20, 2009
Posts
45
Reaction score
225
PROFESA KITILA NI MSALITI?

Na. Mtatiro J

Kaka yangu na Mwalimu wangu Profesa Kitila Mkumbo amefanya uamuzi mkubwa sana katika maisha yake, lakini huo siyo uamuzi wa mwisho kwa maisha ya duniani.

...
Kama Mungu atamjalia umri mrefu bado anayo nafasi ya kufanya maamuzi makubwa zaidi, na si lazima iwe kwenye siasa.

Kitila amekuwa kiongozi mwandamizi wa CHADEMA (upinzani) akiwa mwalimu wa Chuo Kikuu (Mfanyakazi wa Serikali).

Kitila alihama CHADEMA na kuiasisi ACT (Upinzani kwenda Upinzani) akiwa Mfanyakazi wa Serikali.

Kitila alikubali uteuzi wa JPM kuingia ndani ya serikali ya CCM na kupigania na kutetea sera, itikadi, mbinu za uongozi na kila kinachofanywa na CCM, alikubali yote akiwa mwanachama na kiongozi mwandamizi wa ACT lakini zaidi ni (akiwa serikalini).

Jana Kitila amejivua uanachama wa ACT na kubaki na ukatibu mkuu wa wizara (ameendelea kubaki serikalini).

Ukifuatilia mlolongo wote wa maisha ya Prof. Kitila utagundua kila alipopita bado alikuwa serikalini. Walimu wenzake wengi wamepitia manyanyaso makubwa walipojaribu kuwa upinzani na serikalini kwa wakati mmoja, Kitila ni extra ordinary case, kwa miaka zaidi ya 20 ameweza ku-balance kazi ya kuikosoa serikali waziwazi akiwa mpinzani na mtu wa serikali kwa wakati mmoja.

Wapo watu wamekasirishwa na uamuzi wa Kitila kuachana kabisa na siasa za upinzani na kwa hiyo (automatically) kuipigania CCM. Watu hao ni watu wa ajabu, waliweza kumvumilia Kitila alivyokuwa mpinzani na mserikali kwa wakati mmoja, leo wanashindwaje kumvumilia anapoamua kuwa mserikali moja kwa moja?

Mimi binafsi namshukuru na kumpongeza Kitila kwa uamuzi huu wa sasa, kazi ya kuwa vuguvugu ni ngumu mno, kazi ya kutumikia mabwana wawili ni ngumu zaidi. Naamini kuwa Kitila anaweza kuwa na mchango mkubwa zaidi kwa watanzania katika kazi za Ukatibu Mkuu lakini naamini kazi ya kuipigania serikali inamfaa zaidi kuliko hii ya kupigania demokrasia ya kweli hapa Tanzania.

Na mwisho niwaeleze wanademokrasia wote kujifunza kuheshimu maamuzi ya kidemokrasia yanayofanywa na wenzetu hata kama hatuyapendi. Wapo watu wanamuita Prof. Kitila "msaliti", hao hawajui lolote! Kitila si msaliti, ni mtu wa serikalini ndiyo maana alivyohama CHADEMA hakurudi kuivuruga. Kama mnataka kujifunza maana halisi ya usaliti, kajifunzeni kwa "Profesa wa Buguruni!".

Namtakia kila la heri Mwalimu Kitila, nimtake aendelee kujumuika nasi kwenye mijadala ya kijamii, sasa akiwa mserikali kwa asilimia 100!

Mtatiro J
 
Kitila alikuwa ametumwa na serikali kuupata undani wa chadema. Alipostukiwa chadema aliiasisi ACT ili aendelee kupata yaliyoko upinzani.

Nakubaliana na wewe kwamba Kitila siyo msaliti bali alikuwa fukunyuku. Ndiyo maana hakuwa anapata kashi kashi wanazopata watumishi wengine wa serikali walipojaribu kujiunga ama kuunga mkono upinzani.
 
kama mwanadamu huru anahaki ya kuchukua maamuzi aliyochukua.
mfano siwezi kushangaa wala kuduwaa nikisikia Mbowe anahamia CCM.

"all human beings are unpredictable "
hata wewe Brother Mtatiro huwezi kutuhakikishia miaka kumi ijayo utakuwa mpinzani.
maana hapo katikati chochote kinaweza kutokea.
 
msaliti mkubwa, ila hajakusaliti wewe, wala hajaisaliti CUF.

KITILA
-Kaisaliti kauli yake kuwa rais asichague wasomi kwenye post za kiserikali

-kawasaliti wana ACT, wanaopambana kushika dola, ila mshauri wao kaingia upande wa maadui

-kwa sasa tutegemee kuwasaliti wana nchi hasa wanafunzi wake, ambao aliwafundisha kuwa waje waajiliwe au wawezeshwe na serikali kujiajiri lakin atakuwa upande wa kuwa mapato yote ya serikali ni sawa kujengea uwanja "CHATLE" na kununua midege ila mipanga boi..

-kawasaliti wananchi wa Iramba magh. ambapo aliahidi atarudi kumuondoa mwigulu na mkoloni mweusi, lakini sasa keshakuwa mfuasi mtiifu wa Sizonje, hana habari nao.

automatically mkumbo ni mfuasi wa sera zifuatazo.
- sera za visasi
- sera za chuki kwa usiowapenda utawazushia madawa ya kulevya.
-sera za upendeleo wa kikanda,kidini.
sera za ubabe, na kuikanyaga katiba
sera za kuto ongeza mishahara wtumishi ili hela zikajenge uwanja chatle
Duuh, una mihasira hadi nahic u muhanga wa makinikia
 
PROFESA KITILA NI MSALITI?

Na. Mtatiro J

Kaka yangu na Mwalimu wangu Profesa Kitila Mkumbo amefanya uamuzi mkubwa sana katika maisha yake, lakini huo siyo uamuzi wa mwisho kwa maisha ya duniani.

...
Kama Mungu atamjalia umri mrefu bado anayo nafasi ya kufanya maamuzi makubwa zaidi, na si lazima iwe kwenye siasa.

Kitila amekuwa kiongozi mwandamizi wa CHADEMA (upinzani) akiwa mwalimu wa Chuo Kikuu (Mfanyakazi wa Serikali).

Kitila alihama CHADEMA na kuiasisi ACT (Upinzani kwenda Upinzani) akiwa Mfanyakazi wa Serikali.

Kitila alikubali uteuzi wa JPM kuingia ndani ya serikali ya CCM na kupigania na kutetea sera, itikadi, mbinu za uongozi na kila kinachofanywa na CCM, alikubali yote akiwa mwanachama na kiongozi mwandamizi wa ACT lakini zaidi ni (akiwa serikalini).

Jana Kitila amejivua uanachama wa ACT na kubaki na ukatibu mkuu wa wizara (ameendelea kubaki serikalini).

Ukifuatilia mlolongo wote wa maisha ya Prof. Kitila utagundua kila alipopita bado alikuwa serikalini. Walimu wenzake wengi wamepitia manyanyaso makubwa walipojaribu kuwa upinzani na serikalini kwa wakati mmoja, Kitila ni extra ordinary case, kwa miaka zaidi ya 20 ameweza ku-balance kazi ya kuikosoa serikali waziwazi akiwa mpinzani na mtu wa serikali kwa wakati mmoja.

Wapo watu wamekasirishwa na uamuzi wa Kitila kuachana kabisa na siasa za upinzani na kwa hiyo (automatically) kuipigania CCM. Watu hao ni watu wa ajabu, waliweza kumvumilia Kitila alivyokuwa mpinzani na mserikali kwa wakati mmoja, leo wanashindwaje kumvumilia anapoamua kuwa mserikali moja kwa moja?

Mimi binafsi namshukuru na kumpongeza Kitila kwa uamuzi huu wa sasa, kazi ya kuwa vuguvugu ni ngumu mno, kazi ya kutumikia mabwana wawili ni ngumu zaidi. Naamini kuwa Kitila anaweza kuwa na mchango mkubwa zaidi kwa watanzania katika kazi za Ukatibu Mkuu lakini naamini kazi ya kuipigania serikali inamfaa zaidi kuliko hii ya kupigania demokrasia ya kweli hapa Tanzania.

Na mwisho niwaeleze wanademokrasia wote kujifunza kuheshimu maamuzi ya kidemokrasia yanayofanywa na wenzetu hata kama hatuyapendi. Wapo watu wanamuita Prof. Kitila "msaliti", hao hawajui lolote! Kitila si msaliti, ni mtu wa serikalini ndiyo maana alivyohama CHADEMA hakurudi kuivuruga. Kama mnataka kujifunza maana halisi ya usaliti, kajifunzeni kwa "Profesa wa Buguruni!".

Namtakia kila la heri Mwalimu Kitila, nimtake aendelee kujumuika nasi kwenye mijadala ya kijamii, sasa akiwa mserikali kwa asilimia 100!

[HASHTAG]#Mtatiro[/HASHTAG] J

Mtatiro, Julius ama kwa hakika leo umezungumza UKWELI ambao mtu aliyepungukiwa pekee ndie atakaye UPINGA.Kitila amefanya uamuzi SAHIHI KABISA, kwani ni vigumu kutumikia MABWANA WAWILI.
 
Kitu ambacho nahisi watu wengi wamechanganya ni kuwa kitendo cha Professor Mkumbo kuondoka ACT wanfikiri kesho kutakuwepo na press conference ya kumpokea CCM. Katibu Mkuu wa wizara ni senior civil servant ambaye hatakiwi kuwa na mapenzi ya wazi wazi na chama chochote cha siasa. Kwa kweli uamuzi wa Prof Mkumbo umechelewa, ulitakiwa siku anakubali majukumu ya nafasi ya katibu mkuu aandike barua ACT ya kujivua uanachama
 
Back
Top Bottom