Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Anafukuzia uDC!Njaa tuu huyu inamsumbua
Asipoitukana Chadema atapata vipi uteuzi? Watahangaika sanaHivi wewe umeshahama tayr,umeamua kwenda upande ambao kwako unaona ni sahihi unataka nini???
Wewe si ulikuwa mwanachama wa CUF,kwanin unaitukana chadema???
Nimekudharau sana...
Wewe ulieko wapi uwezo wako ukoje Baba?Tanzania ni moja ya nchi yenye wasomi wajinga sana, wasomi wa nchi hii hawana tofauti na wasio na elimu hata ya darasa la kwanza
Na mtu akihamia ccm tu uwezo wake wa kufikiri na kutenda hushuka sana