Julius Mtatiro awapongeza ACT Wazalendo

Julius Mtatiro awapongeza ACT Wazalendo

Chadema wanatumia mgongo wa Cuf kujinufaisha, Sasa hivi wanalazimisha Slaa agombee urais halafu msomi prof, lipumba akagombee ubunge Tabora, Chadema wanafiki sana

We unaongea kama zuzu,jiulize serikali za mitaa chama gani kimeongoza kati ya cuf na cdm afu ujiulize mgongo wa cuf hapo uko wapi?
 
Siasa za bongo maji taka kweli..!! Yan saiv chadema wanatumia nguvu nyiingi kwa ACT huku wameisahau ccm...!! Sasa kwa nini ccm isishinde kiulain wkt wapinzani tumeconcetrate kutiana ----- wenyewe kwa wenyewe...!! Huu ulikua mda wa kutengeneza sera za kuja kuueleza umma kwenye campaign mwezi wa nane...!! Hatutaki hadith za escrow na ufisadi kwenye kampeni za mwaka huu tunataka mtueleze mtafanya nini na kivipi..!! Hakuna blah blah tena kama za 2010..!!
 
HONGERENI ACT - WAZALENDO......
Mwanademokrasia yeyote hapaswi kukasirika pale ambapo chama kipya kinaanza kazi zake huku kikionesha mambo kadha wa kadha mazuri na ya kuigwa na vyama vilivyopo.

Japokuwa chama hiki kipya pia kina mambo lukuki ya kuiga na kujifunza kutoka kwa vyama vikongwe. Kwa uzoefu wangu wa siasa, huwezi kukilinganisha chama hiki kipya na vyama utitiri ambavyo hata ofisi zao hazijulikani ziko wapi na lini wanafanya mkutano mkuu au vikao vya maamuzi.

Ifikie wakati tuwe na sheria ambayo inavilazimu vyama fulani kujifuta moja kwa moja vikishindwa kupata ushindi kiasi fulani kwenye uchaguzi. Nchi inahitaji kuwa na vyama vichache vyenye malengo ya kuleta ushindani wa kweli, Mimi ni muumini wa ushindani na nawakaribisha ACT kwenye ushindani wa kidemokrasia.

Njooni mjenge hoja na tushindanishe sera. Naamini kuwa chama chenu ni platform ya kisiasa kama zilivyo zingine.

J. Mtatiro,
DSM.

Mtatiro ana ka element za act
 
Mtatilo Ansjifanya Cuf huku anatsmani Act. Akumbuke Act wametangaza vita na Cuf huku pwani yote.
 
HONGERENI ACT - WAZALENDO......
Mwanademokrasia yeyote hapaswi kukasirika pale ambapo chama kipya kinaanza kazi zake huku kikionesha mambo kadha wa kadha mazuri na ya kuigwa na vyama vilivyopo.

Japokuwa chama hiki kipya pia kina mambo lukuki ya kuiga na kujifunza kutoka kwa vyama vikongwe. Kwa uzoefu wangu wa siasa, huwezi kukilinganisha chama hiki kipya na vyama utitiri ambavyo hata ofisi zao hazijulikani ziko wapi na lini wanafanya mkutano mkuu au vikao vya maamuzi.

Ifikie wakati tuwe na sheria ambayo inavilazimu vyama fulani kujifuta moja kwa moja vikishindwa kupata ushindi kiasi fulani kwenye uchaguzi. Nchi inahitaji kuwa na vyama vichache vyenye malengo ya kuleta ushindani wa kweli, Mimi ni muumini wa ushindani na nawakaribisha ACT kwenye ushindani wa kidemokrasia.

Njooni mjenge hoja na tushindanishe sera. Naamini kuwa chama chenu ni platform ya kisiasa kama zilivyo zingine.

J. Mtatiro,
DSM.
Mambo mengine bwana, hivi chama ambacho hakina mbunge hata mmoja, hakina diwani hata mmoja, hhakina kiongozi wa serikali za mitaa hata mmoja na wala hakina hata kiongozi wa kitongoji hata mmoja. Kiongozi wake anapata wapi ujasiri wa kujiita kiongozi wa chama cha upinzani, kwa lipi wakati Watanzania waliowengi wenye nchi yao wote hawakuungi mkono. Baadhi ya viongozi wa upinzani waliibukia kwenye bunge maalumu la katiba, na huko walienda kwa sababu ya hisani ya Rais. Kama wana ubavu tutawaona Oktoba 2015.
 
Siasa za bongo maji taka kweli..!! Yan saiv chadema wanatumia nguvu nyiingi kwa ACT huku wameisahau ccm...!! Sasa kwa nini ccm isishinde kiulain wkt wapinzani tumeconcetrate kutiana ----- wenyewe kwa wenyewe...!! Huu ulikua mda wa kutengeneza sera za kuja kuueleza umma kwenye campaign mwezi wa nane...!! Hatutaki hadith za escrow na ufisadi kwenye kampeni za mwaka huu tunataka mtueleze mtafanya nini na kivipi..!! Hakuna blah blah tena kama za 2010..!!

acha uzuzu kuna tofauti gani kati ya CCM na ACT?
 
Sasa we mwanaume ulitaka nivae nguo ndefu kama dadaako?
Shut up
 
Back
Top Bottom