Julius Malema: No African Is Foreigner In Africa

Julius Malema: No African Is Foreigner In Africa

Asante Malema natamani AU wa record clip wakuu wa nchi wakikemea utengano kisha hatua za kuboresha sheria za uhamiaji na viza.
 
Julius ni Mwamba wa Africa
 
Huyo si anatafuta uraisi, imeandikwa kila mmoja ashikamane na urithi wa Baba yake, mambo ya kukimbilia Kwenye nchi za watu afu unadai ni kwenu ni ujinga,unabaki kuponda nchi yako, mambo yakiharibika unatafuta mchawi ndo mana wachaga hawataki mtu mwingine ajenge na kuishi kwao na kupitia hilo wamefanikiwa Sana,

nenda nje tafuta Ila home is home,
Wana wa Israel waligawiwa ardhi kulingana na makabila, hawakuchanganywa, na hata walipochukuliwa mateka Mungu aliwarudisha tena wakaujenge upya Yerusalemu kwao,
 
Ni kweli kaka, umenena kweli haya mamipaka yalikuja baada ya Africa kiwepo na mbaya zaidi hatuku yachora sisi.
 
Mjinga huyo Malema, kila nchi iwajibike kwa watoto na vijana wake, kwa nini nchi zilizojipanga vizuri zibebe mizigo ya vijana wa nchi nyingine wasiokuwa na kazi?

Low IQ communist Malema!
 
Yeye ugomvi wake ni wazungu km late Mugabe!
Aliwashindwa nyerere akiwa na hazina ya Pesa na mali alizoachiwa na wakoloni yeye atawaweza watu anaowategemea wachangie bajeti yake
 
Mawazo yake ni mazuri, cha msingi kusiwe na gap kubwa la kiuchumi kati ya nchi mf CAR vs RSA, by default lazima u-foreigner uhusike. Tujaribu kuifikia kwanza EU level
 
Na uliona kilichotokea kwa Mugabe? Alishindwa iokoa nchi mpaka anapinduliwa.
Wazungu kwa fitna hatari
Wanaweza mgeuka Jiwe akalikimbia jumba jeupe!
 
Tuheshimiane tafadhari
 

Attachments

  • VID-20191010-WA0084.mp4
    127.7 KB
Back
Top Bottom