Julio, mbeya city watashuka daraja, minziro mpum..vu

Hilo bwabwa chakula ya watu achana nalo,kocha Minziro tu...........

Siyo uungwana kumtusi mtu mzima namna ile kisa mambo ya mpira bwana. Si vema. Uliwahi kumla? Jibu lako ni nimekuwa nasikia tu watu wakisema. Tuchunge kauli zetu. Jiulize ungekuwa ww unasemwa hvyo au jamaa yk wa karibu. Ndyo yule ni mropokaji lakini tuna uhakika gani na habari. Mleta habari hajaweka source, how can we prove it? Tuwe great thinkers & good orators. Mi si mpenzi wa mipira lakini sijapenda kauli za wengi wenu humu inaonekana ni namna gani mlivyo kutokana na kauli zenu.
 
unaelewa ingredients za neno "mtu mzima"?
 
Julio alisema wanae wanasimamiwa na wakala wa ronaldo na mourinho ila jina alilolitaja sio la mendes(realy wakala wa jose na cr7)
 
Nahisi sijaelewa!!!

Mimi ni shabiki mkubwa sana wa Yanga...ila kwa sasa nimestisha ushabiki wangu ...mpaka hapo Ngassa atakapoomba radhi mashabiki wa Yanga kwa kitendo chake cha kuonekana kwenye video chafu ama atakapoondoka Yanga.

Sasa kama ikidhibitika na Minziro anafanya maasi akiwa Yanga basi ataongeza kikwazo kingine cha mimi kuwa Shabiki wa Yanga.
 
Back
Top Bottom