Jules Gabriel Verne: In The Year 2889

Rapherl

JF-Expert Member
Jun 20, 2012
3,504
2,256
JF

Nimesoma hii essay/short story ambayo inasemekana imeandika na Jules Verne mwaka 1889 japo wengine wanasema imeandikwa na Mwanae Mitchel Verne lakini idea ikiwa ni ya baba yake, akipredict mwaka 2889(miaka 1000) baadae dunia itakavyokuwa

Kaongelea maswala ya Dunia kuwa vyakula vitakavyoandaliwa kisayansi na hewa ambayo itakuwa haina vijidudu(micro-organism) na pia ikiwa na nutritive(?), kuishi kwenye dunia isiyo na "magonjwa" yoyote ambayo wazee wetu waliwahi kuyajua

Kuwa na mawasiliano na sayari nyingine kama Mercury, Venus, Mars kwa kutumia kifaa kiitwacho Phototelegraph/Telephote(?)( kipindi hicho anaandika hichi kitabu hakukuwa na simu wala skype wala IMS etc) version yake ya komputa aliita Piano electro- reckoner.

Uwezo wa kutengeneza Mawingu kukiwa na cloudless sky, pia kutengeneza mvua na kuhifadhi Jua, yaani jua litavunwa kadri ya mahitaji na nishati ya ziada itahifadhiwa na kutumika katika shughuli nyinge au kipindi cha Winter!,

Mechanical dresser, shower, trasportation chair kwenda sehemu yoyote duniani

Ila kitu kimoja kiliwashinda ni kumuamsha Bwana Faithburn ambae aligundua jinsi ya kupumzisha viungo vya mwili wake kwa miaka mia(he was reduced to a Mummy) ili baadae aje afufuliwe...

Maoni Yangu: Naona vitu vingine alivyo imagine kipindi hicho vimetokea kama smart technology, ku-subscribe kwenye news paper na kupata taarifa zoxote kwa uharaka zaidi, uhifadhi wa vyakula, japo vimetokea miaka 120 baada ya hicho kitabu kundikwa huku yeye akipredict ni baada ya miaka 1000

Vitu kama mawasiliano na Sayari nyingine ni jambo la muda tu, also Rumours has it that Nutritive Air is yet to be Discovered.

Kitabu kipo mtandaoni unaweza ukakitafuta na kukisoma, nashindwa kukiattach hapa
 
Please share nasi link yake mkuu
 
Duuuuuh nimejikuta najiuliza maswali mengi kuhusu huyo Faithburn aliyegundua jinsi ya kupumzisha mwili wake.
Mwenye kujua kuhusu hili na ilikuwaje anijuze please.
 
Daah ndomaana kuna mlevi m1 uku kitaani ana kamsemo chake eti kuliko afe mzungu 1 ni bora tufe waafrika 10000 maana atuna faida yoyote..
 
Ahsante kwa hii story..
 
Duuuuuh nimejikuta najiuliza maswali mengi kuhusu huyo Faithburn aliyegundua jinsi ya kupumzisha mwili wake.
Mwenye kujua kuhusu hili na ilikuwaje anijuze please.

He was reduced to mummy, hi ni kama wale mizoga ya misri ya akina Farao...., ila kwa kipindi kile ilikuwaa complex sana, Milli ilikuwa inafungwa kwenye containers ambazo hazitaingiza hewa hata kidogo, pia walikuwa wakitumia liquid fulani kufanya mwili ubaki freshi kwa miaka mingi.
 
Sasa mkuu,huo ugunduzi wake aliwahi kufanya majaribio hata kwa wanyama kabla ya kuamua kujilipua mwenyewe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom