Nimetembelea blogu nyingi kuona ipi ni bora na iliyotengenezwa kitaalamu kutoa fursa bora kwa watumiaji wake.Jamii forums nimegundua ndipo penyewe.
Jf ina uvumilivu wa mambo mengi lakini inaogopa sana jukwaa la Dini na Imani.Mara leo lipo mara limefutwa!.Hofu ni nini?.
Nimetembelea blogu nyingi kuona ipi ni bora na iliyotengenezwa kitaalamu kutoa fursa bora kwa watumiaji wake.Jamii forums nimegundua ndipo penyewe.
Jf ina uvumilivu wa mambo mengi lakini inaogopa sana jukwaa la Dini na Imani.Mara leo lipo mara limefutwa!.Hofu ni nini?.
Haiwezekani kwamba JF haina dini.Kama ni hivyo mbona inaogopa dini?,kama kweli hilo jukwaa hufutwa na kurudishwa kila baada ya muda.
Askofu huoni kwamba wanaolifuta ndio wanaoligopa!.Kwa sababu wao ndio wameshikilia mpini.Wachangiaji hawana hofu nalo,wataalamu kama wewe askofu mupo wengi.Na hueanda kuna moderator mmoja tu ndio mdini au tuseme anaogopa dini.Wanaolifuta ndio wanaliogopa au wachangiaji ndio wana hofu nalo??:sad:
Hebu tupatie mtazamo wako juu ya hilo jukwaa
Kwa hiyo dini ya JF ni ipi na kwa nini kuna dini hiyo?
Hapo chacha!!Kwa hiyo dini ya JF ni ipi na kwa nini kuna dini hiyo?
Imani na dini huenda pamoja ndio maana hata jukwaa tunaloongelea limeitwa dini na Imani.Hapo chacha!!
Kama wewe unapenda kuanzisha topic inayohusiana na mambo ya imani si uanzishe? kwa nini unalalamika.
kwanza kwa nn unasema mambo ya dini badala ya mambo ya imani?
Kwa mfano kupitia sheria ya ugaidi.
basi ushaeleweka, kumbe mambo yetu yaleee!!!! anzisha angalao blog basi uwe unaweka kero zako zinazohusu dini yako dhidi ya nyingine kama unavyotaka.Kwa jinsi huu msamiati wa udini unavyotumika kwengine hii dini ina uwezekano kwamba ni kama ya huko.Mfano tunasikia serikali haina dini lakini huwa inaumwa sana ukristo ukishambuliwa na hauna habari uislamu ukiumizwa. Kwa mfano kupitia sheria ya ugaidi.
haya tena mengine ..halijawahi kufutwa labda kama kuna marekebisho ..
kumbe jukwaa lenyewe unalijua? kwanza jukwaa lile ni la premium member!! fanya utaratibu kwa invisible kwanza!Imani na dini huenda pamoja ndio maana hata jukwaa tunaloongelea limeitwa dini na Imani.
basi ushaeleweka, kumbe mambo yetu yaleee!!!! anzisha angalao blog basi uwe unaweka kero zako zinazohusu dini yako dhidi ya nyingine kama unavyotaka.
kumbe jukwaa lenyewe unalijua? kwanza jukwaa lile ni la premium member!! fanya utaratibu kwa invisible kwanza!