Crackberry.com......ts the best website kwaajili ya applications mbali mbali za BB

Kwa wenye hzo akaunti za social network na mna BIS mnaweza kuwa online 24/7 anaeingia kwenye computer atakuona kwenye chat

Basi kuna hii pia inaitwa nimbuzz..ni nzuri sana nayo maana unaweza ukawa online na uka chat live na friends wako wote wa yahoo,facebook, haves, hi5 na nyingine nyingi..inapatikana kwenye webiste ya nimbuzz na inafaa kwa simu zote zenye uwezo wa internet

Mimi ninayo lakini sijaona, unatumiaje fb,tt nk?

Kaka samahani iyo huduma unaiactivate vip...

Ingia kwenye settings...nenda kwenye manage I'm accounts ...hapo uta sign in kwenye facebook..aim...live messenger...my space...google talk....hyves na icq...na wasiwasi kama twitter wapo katika hili

twitter, haipo ktk kuchat, ila waweza pata updates zake. Na unaweza uka2ma mms kwa unaechati naye. vilevile unaweza check locatn ya m2 unaechat nae! Enjoy.