Jukwaa La Tech

Jukwaa La Tech

hero7

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
220
Reaction score
70
Habari wakuu!ningependa kuongelea jambo kwa member wa jukwaa la Tech embu tupunguze mizaa tuwe serious na pia jukwaa la Tech kwa sasa limekuwa kama limeinhiliwa zinakuja mada ambazo asilimia kubwa hazihusiki na huku ,then issue ya baadhi ya mamber kugeuzwa jukwaa hili ni la hualifu waache kwakua baadhi ya member mfano "anakuja anauliza nawezaje kudukua(hack) mawasiliano"Embu tupunguze masihara mtu aje akiwa serious anashida ya msingi na inayohusu tech na kama uwezi kumpa msaada au hujui alichohitaji kusaidiwa usimcrash au kuleta masihara.
 
True jukwaa hili la tech na gadget limeyumba aisee...
 
Back
Top Bottom