Jukwaa la MMU inaweza kukosa mvuto kwa ajili ya jukwaa la Chit Chat,hii ni kutokana na members wa MMU kuhamia huku halafu
isitoshe huku mada zote zinajadiliwa.
Nakupongeza wewe kwa kujua kipimo cha akili zako na kufahamu jukwaa jepesi kama hili ndio linakufaa, maana uwezi kuja kutusumbuwa kwenye mijadala makini.
Nakupongeza wewe kwa kujua kipimo cha akili zako na kufahamu jukwaa jepesi kama hili ndio linakufaa, maana uwezi kuja kutumbuwa kwenye mijadala makini.