jukwaa gani jf ambalo linapendwa zaidi?

TANZANNIA

JF-Expert Member
Sep 29, 2015
1,047
384
kwa waliofanya utafiti wamegundua ni jukwaa gani hapa jf linapendwa zaidi ya mengine?
 
KWA UTAFITI WANGU LA KWANZA NI 1,MMU JAPO WENGI HUWA WANASOMA TU NA KUPITA, 2. JUKWAA LA SIASA, 3. HABARI NA HOJA MCHANGANYIKO. HAYO TU MENGINE NI NYONGEZA TU KWA INTENTION YAKO, KAMA TECH,SCIENCE AND GADGET, KULINGANA NA MATATIZO YAKO, UKITAKA KUPUNGUZA STRESS! NENDA JOKES CORNER.
 
Ni jukwaa pendwa lile la mwisho kule chini kabisa,kufika inabidi usafiri umbali mrefu.
 
Back
Top Bottom