white wizard JF-Expert Member Joined May 18, 2011 Posts 8,618 Reaction score 13,896 Nov 25, 2019 #1 Wakuu naomba mwenye kufahamu kampuni ambayo inahusika na usambazaji wa hizo mashine za music, zile za kudumbukiza coins, anipe mawasiliano nayo, nipo Dar, nahitaji moja kuna sehemu yangu ya biashara nataka kuiweka. Nitashukuru
Wakuu naomba mwenye kufahamu kampuni ambayo inahusika na usambazaji wa hizo mashine za music, zile za kudumbukiza coins, anipe mawasiliano nayo, nipo Dar, nahitaji moja kuna sehemu yangu ya biashara nataka kuiweka. Nitashukuru
mkombengwa JF-Expert Member Joined Dec 4, 2011 Posts 3,180 Reaction score 3,458 Feb 26, 2021 #2 Mkuu bado hujapata mtu wa kukuelekeza?nami nazihitaji Sana
T The Initiator huru JF-Expert Member Joined Dec 4, 2017 Posts 2,336 Reaction score 3,236 Feb 26, 2021 #3 Hata mm nakuhitaji