X-PASTER JF-Expert Member Joined Feb 12, 2007 Posts 11,604 Reaction score 1,857 Jul 18, 2011 #1 Juisi Ya Melon Na Embe Vipimo Na Mahitaji Tikiti la asali (honey melon)..............1 Unga wa embe au embe...................1 Tangawizi........................................1 Kijiko Ndimu..............................................1 Sukari..............................................¼ Kikombe cha chai Arki rose..........................................2 Matone Namna Ya Kutayarisha Limenye melon na ulikate kate kisha tia kwenye blender Tia unga wa embe au embe iliyokatwa katwa Kisha tia ndimu iliyokatwa vipande kiasi pamoja na maganda yake Halafu weka sukari Saga vizuri hadi ilainike Mimina kwenye jagi kisha tia matone mawili ya arki rose ukoroge na tayari kwa kunywewa Kidokezo: Ukiweka ndimu weka na maganda yake unapata ladha nzuri zaidi.
Juisi Ya Melon Na Embe Vipimo Na Mahitaji Tikiti la asali (honey melon)..............1 Unga wa embe au embe...................1 Tangawizi........................................1 Kijiko Ndimu..............................................1 Sukari..............................................¼ Kikombe cha chai Arki rose..........................................2 Matone Namna Ya Kutayarisha Limenye melon na ulikate kate kisha tia kwenye blender Tia unga wa embe au embe iliyokatwa katwa Kisha tia ndimu iliyokatwa vipande kiasi pamoja na maganda yake Halafu weka sukari Saga vizuri hadi ilainike Mimina kwenye jagi kisha tia matone mawili ya arki rose ukoroge na tayari kwa kunywewa Kidokezo: Ukiweka ndimu weka na maganda yake unapata ladha nzuri zaidi.
Prince Nadheem JF-Expert Member Joined Feb 25, 2012 Posts 1,269 Reaction score 1,107 Sep 6, 2012 #2 mh!! am salivating, ila mkuu naomba kuelekezwa hiyo arki rose ndio nini?? thanx in advance
drphone JF-Expert Member Joined Sep 29, 2009 Posts 3,542 Reaction score 294 Sep 6, 2012 #3 napenda juic asilia yenyewe bila kuongeza sukari wala chochote kila labda maji kwa mbali ucpme utamu wake
napenda juic asilia yenyewe bila kuongeza sukari wala chochote kila labda maji kwa mbali ucpme utamu wake
MadameX JF-Expert Member Joined Dec 27, 2009 Posts 7,792 Reaction score 3,860 Sep 10, 2012 #4 prince nadheem said: mh!! am salivating, ila mkuu naomba kuelekezwa hiyo arki rose ndio nini?? thanx in advance Click to expand... Arki ni essence inaweza kuwa ya aina yeyote
prince nadheem said: mh!! am salivating, ila mkuu naomba kuelekezwa hiyo arki rose ndio nini?? thanx in advance Click to expand... Arki ni essence inaweza kuwa ya aina yeyote