Juice dispenser used inauzwa

Juice dispenser used inauzwa

kama unahitaji kupata juice nzuri na yenye kutia hamu ya kuinywa nenda mjini au sehemu za migahawa au hotels au pale kkoo ilipokuwa round about basi lazima uikute iko kwenye Juice Dispenser! mimi ninayo naiuza kwa bei cheee japo kuna tatizo kidogo tu sehemu ya kukoroga! ila inapoza vizuri na haraka zaidi ila unaweza kurekebisha tstizo tu kwa pesa kidogo! naama mji naenda pembeni kidogo ndo maana nauza! nauza kwa sh 390,000 tu ila maongezi yapo kidogo!

napatikana Keko Temeke! nicheck 0653116399
View attachment 432531View attachment 432533View attachment 432535View attachment 432537
afadhari umesema ukweli kama kuna tatizo kidogo

saa nyingine ni vizuri mtu kuwa mkweli! japo sijauza kutokana na hilo tatizo ila nimeona ni bora zaidi nisema hali halisi ilivo
 
Back
Top Bottom