juic ya apple...

Bait

Member
Joined
Mar 17, 2012
Posts
24
Reaction score
0
jamaa mmoja alikwenda hotelini akaagiza juisi ya apple lakini alipo ionja ikawa na ladha ya sabuni,akauliza "mbona hii juic inladha ya sabuni? mhudumu akamjibu 'samahani kaka hiyo itakuwa juic ya mapela...maana juic ya apple hapa kwetu huwa na ladha ya mafuta ya taa!!
 
Hahahahaaaaaa aiseeee jamaa hatarudi tena
 
Hapo sipati picha kama utaagiza juice ya parachichi usishangae inaharufu ya ushuzi
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Umetisha
 
May be angeagiza mafta ya taa angeletewa juic ya apple!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…