.....Rais Kikwete ni mpole sana yaani mtu mdogo kama Gwajima anafanya 'battle' na vyombo vya Dola kabisa.Huyu mtu anapaswa kuoneshwa kuwa serikali ipo,ina meno na inauma....
Gwajima mwisho wake ni October baada ya uchaguzi tu Mzee wa kazi Magufuli kuingia ikulu. Anawaharibia sana Chadema!!