Pasco_jr_ngumi
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 1,802
- 282
Dodoma.
Mkutano wa kuchagua viongoz wapya wa umoja wa vyuo vikuu Tanzania umefanyika na hatimae Rais na Katibu wamepatikana.
DHANA na0mbinu chafu za CCM zikiongozwa na mtoto wa rais wa tanzania zilitawala kutaka kumuweka mfuasi wa CCM kutoka chuo cha Mzumbe awe Rais.Bwana mdogo Ridhiwan Kikwete alikuwa akigawa rushwa kwa wajumbe na hatimae alifukuzwa akisaidiwa na bwana Noel Katongo mwenyekiti mbumbumbu mwiz wa pesa wa chuo cha ushirika Moshi.
Walipoona hawawez kuwanunva wasomi wapga kura kwa ufisad... Walitaka kupangua muda wa kupga kura wakaandae mbinu nyingine ya kumpachka Rais fake wa CCM.
Kwa hasra wajumbe wakajpanga na kuwateua viongoz wa nuda wa kusmamia uchaguz na viongoz wapya wakapatkana bila wao kuwepo.
sasa mnajuaje kama hao mliowachagua hawatanunuliwa na ccm?
Dodoma.
Mkutano wa kuchagua viongoz wapya wa umoja wa vyuo vikuu Tanzania umefanyika na hatimae Rais na Katibu wamepatikana.
DHANA na mbinu chafu za CCM zikiongozwa na mtoto wa rais wa tanzania zilitawala kutaka kumuweka mfuasi wa CCM kutoka chuo cha Mzumbe awe Rais.Bwana mdogo Ridhiwan Kikwete alikuwa akigawa rushwa kwa wajumbe na hatimae alifukuzwa akisaidiwa na bwana Noel Katongo mwenyekiti mbumbumbu mwiz wa pesa wa chuo cha ushirika Moshi.
Walipoona hawawez kuwanunva wasomi wapga kura kwa ufisad... Walitaka kupangua muda wa kupga kura wakaandae mbinu nyingine ya kumpachka Rais fake wa CCM.
Kwa hasra wajumbe wakajpanga na kuwateua viongoz wa nuda wa kusmamia uchaguz na viongoz wapya wakapatkana bila wao kuwepo.
Wewe ni mwongo na mnafiki mkubwa!Hakukuwa na kitu kama hicho acha uzushi kama wa aliyekuwa mgombea wenu wa urais ambaye sifa yake ni kuwa katibu kata lakini akataka kugombea cheo cha juu Tanzania!
Wewe ni mwongo na mnafiki mkubwa!Hakukuwa na kitu kama hicho acha uzushi kama wa aliyekuwa mgombea wenu wa urais ambaye sifa yake ni kuwa katibu kata lakini akataka kugombea cheo cha juu Tanzania!
WEWE JAMAA AKILI ZAKO ZIKO M*KU*N*D*U*NI.....Kwa taarifa yako huyo unayesema KTIBU KATA ..Phd yake ni ile yenye PHYLOSOPH YA UKWELI ambayo wenye HEKIMA humu JF na dunia nzima wanatambua kuwa VIONGOZI NA MARAISI WORE WALIOTUKUKA Walisoma hiyo...SIYO Phd za kupewa baada ya mtu kushauriwa na mke wake kitandani baada ya MAHABA.....
Mod inabidi tuangalie hawa wageni wanoingia kwa kipindi hiki nimefuatilia sana post zao wanatuka kwelikweli
Kwani ukiandika bila kutukana matusi ya nguoni ujumbe wako hautafika
Tubadilike jamani