Juhudi za CCM za kumpachika RAIS wa TAHLISO zatokota | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Juhudi za CCM za kumpachika RAIS wa TAHLISO zatokota

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Pasco_jr_ngumi, Dec 1, 2010.

 1. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #1
  Dec 1, 2010
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Dodoma.
  Mkutano wa kuchagua viongoz wapya wa umoja wa vyuo vikuu Tanzania umefanyika na hatimae Rais na Katibu wamepatikana.

  DHANA na mbinu chafu za CCM zikiongozwa na mtoto wa rais wa tanzania zilitawala kutaka kumuweka mfuasi wa CCM kutoka chuo cha Mzumbe awe Rais.Bwana mdogo Ridhiwan Kikwete alikuwa akigawa rushwa kwa wajumbe na hatimae alifukuzwa akisaidiwa na bwana Noel Katongo mwenyekiti mbumbumbu mwiz wa pesa wa chuo cha ushirika Moshi.

  Walipoona hawawez kuwanunva wasomi wapga kura kwa ufisad... Walitaka kupangua muda wa kupga kura wakaandae mbinu nyingine ya kumpachka Rais fake wa CCM.

  Kwa hasra wajumbe wakajpanga na kuwateua viongoz wa nuda wa kusmamia uchaguz na viongoz wapya wakapatkana bila wao kuwepo.
   
 2. D

  Derimto JF-Expert Member

  #2
  Dec 1, 2010
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mbona vyuoni kunaeleweka kua ukileta wenge lako na njaa zisizo na maana utapoteza kiti chako baada ya muda mfupi na ndiyo maana wamefanya maamuzi ya busara ili kuhakikisha kuwa demokrasia haitiwi maji.
   
 3. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #3
  Dec 2, 2010
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  mbona toka zamani TAHILISO walishachakachuliwa sa ccm hicho ndiyo chanzo cha kuvunjika mwaka 2008 na baadhi ya vyuo vilivyojitoa ikiwemo UDSM kuunda umoja wao mwingine ambao ulikuwa chini ya hati ya makubaliano (memorrundum of understanding)
   
 4. D

  DENYO JF-Expert Member

  #4
  Dec 2, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 699
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Safi saana ni kazi ya kudumu ya ridhiwan kuchafua umma kwa kodi za watanzania, sasa hivi anahaha kumusafisha asifiwe na wanavyou ili aonekane hakuchakachua kura, safi tahiliso kumtolea uvivu,
   
 5. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #5
  Dec 2, 2010
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  sasa mnajuaje kama hao mliowachagua hawatanunuliwa na ccm?
   
 6. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #6
  Dec 2, 2010
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hahhaaahh!! Gurudumu bwana, thanks for keeping us moving.

  Kimsingi nahisi kama vile hii ndio plan B ya CHICHIEMU
   
 7. s

  superfisadi JF-Expert Member

  #7
  Dec 2, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 552
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ni aibu vyuo vikuu ni taswira ya taifa kama nyie mtanunulika wale walioishia sekondari za kata itakuwaje? Shame on u all
   
 8. i

  ifolako Member

  #8
  Dec 2, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe ni mwongo na mnafiki mkubwa!Hakukuwa na kitu kama hicho acha uzushi kama wa aliyekuwa mgombea wenu wa urais ambaye sifa yake ni kuwa katibu kata lakini akataka kugombea cheo cha juu Tanzania!
   
 9. Y

  YOTE UBATILI Member

  #9
  Dec 2, 2010
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WEWE JAMAA AKILI ZAKO ZIKO M*KU*N*D*U*NI.....Kwa taarifa yako huyo unayesema KTIBU KATA ..Phd yake ni ile yenye PHYLOSOPH YA UKWELI ambayo wenye HEKIMA humu JF na dunia nzima wanatambua kuwa VIONGOZI NA MARAISI WORE WALIOTUKUKA Walisoma hiyo...SIYO Phd za kupewa baada ya mtu kushauriwa na mke wake kitandani baada ya MAHABA.....

   
 10. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #10
  Dec 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Unamaanisha dr slaaa kua anasifa ya kua rais?angalia maneno yako na kama wewe ni muislam uende msikitini ukaswali na kama mkristo nenda kanisani ukatubu.tena ukome kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa,nyama weeeeeeeeeeee
   
 11. Y

  YOTE UBATILI Member

  #11
  Dec 2, 2010
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  WEWE JAMAA AKILI ZAKO ZIKO M*KU*N*D*U*NI.....Kwa taarifa yako huyo unayesema KTIBU KATA ..Phd yake ni ile yenye PHYLOSOPH YA UKWELI ambayo wenye HEKIMA humu JF na dunia nzima wanatambua kuwa VIONGOZI NA MARAISI WORE WALIOTUKUKA Walisoma hiyo...SIYO Phd za kupewa baada ya mtu kushauriwa na mke wake kitandani baada ya MAHABA.....
   
 12. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #12
  Dec 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ifolako unataka kuaribu siku,nenda ukapimwe akili mother ****er.
   
 13. Y

  YOTE UBATILI Member

  #13
  Dec 2, 2010
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dr. Slaa uishi milele.........WOTE SEMENI AMENNNNNNNNNNNNNN.........
   
 14. Zegreaty

  Zegreaty JF-Expert Member

  #14
  Dec 2, 2010
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  sio cha kushangaa uongozi huo tu wa wanafunzi,mbona tuna mi professor yetu michizi inayokubali kutumiwa na wanasiasa ili inufaike wao na familia zao, hata wafanyaje ccm hadanganywi mtu sasa wasome alama za nyakati......muda wa mabadiliko umewadia na ukoleta mchezo utazaa na watanzania waliochoshwa kuonewa kwa 46 years.:whoo:
   
 15. Zegreaty

  Zegreaty JF-Expert Member

  #15
  Dec 2, 2010
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  wewe umelishwa nini mpaka kuwakumbatia hawa ma#########k######ma hata uwasafishe vipi hawasafishiki,ni sawa na kupiga deki ndani ya shimo la choo ili umwage ugali ule,kama hunaga cha kusema ni bora ukatuliza mdhuti,matatizo waliyosababisha hawa watu sasa basi hatuhitaji poroja kwani mwisho wa siku tutazaa na mtu tena atajifungulia kama haja kubwa inakopita.
   
 16. Diehard

  Diehard JF-Expert Member

  #16
  Dec 2, 2010
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Ifokalo hukupata mgawo nnini, mbona umeingia ****** wakati ushajisaidia nguoni endelea na safari,
   
 17. D

  Domo Zege JF-Expert Member

  #17
  Dec 2, 2010
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Unatafuta BAN kwa nguvu zote nakuona. Mod tumechoka matusi ya aina hii.
   
 18. D

  Domo Zege JF-Expert Member

  #18
  Dec 2, 2010
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 687
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Mod inabidi tuangalie hawa wageni wanoingia kwa kipindi hiki nimefuatilia sana post zao wanatuka kwelikweli
  Kwani ukiandika bila kutukana matusi ya nguoni ujumbe wako hautafika
  Tubadilike jamani
   
 19. Y

  YOTE UBATILI Member

  #19
  Dec 2, 2010
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huwezi kumfananisha Dr. Slaa na katibu kata..Hata Mwalimu Nyerere aliwahi kuwatukana watu walioonesha utovu wa akili kuwa wajinga na wapumbavu...hilo neno hapo juu ni size yake huyo jamaa...kama nawe upo naye pokea.....
   
 20. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #20
  Dec 2, 2010
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Nakumbuka mwaka 2006 kama sio mwaka 2007 wanafunzi wa vyuo kadhaa kikiwemo udsm na matawi yake waligoma na kufukuzwa vyuoni. Nakumbuka wana UDSM walibeba moja ya mabango lililosomeka hivi "serikali ya kikwete ni ya kishkaji" hao jamaa wa TAHLISO waliibuka eti wakamuomba rais msamaha na kukiri kwamba walifanya kosa kugoma. Tangu wakati huo sina imani na TAHLISO wale watu wa kununuliwa tu..
   
Loading...