on top of that,ten days kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu,ccm walimtuma membe personal kufata ten billion kwa gadaff ili kuja kusaidia uchaguzi,ana kila sababu ya kuguswa na kifo hiki,membe kaisemea sisiem na si Tanzania
for presidency 2015
mimi nashindwa kuwaelewa watanzania ambao wamekua wakipiga fujo juu ya kifo cha Gadaffi.Swali langu ni moja tu kwa watanzania wenzangu,hivi leo hii JK akitangaza kumuachia madaraka mtoto wake Ridhiwani, mtajisikiaje?
Kwani mpaka sasa hujui JK alishampa RIZ1 madaraka hata ya kuchagua Rais ajaye??mimi nashindwa kuwaelewa watanzania ambao wamekua wakipiga fujo juu ya kifo cha Gadaffi.Swali langu ni moja tu kwa watanzania wenzangu,hivi leo hii JK akitangaza kumuachia madaraka mtoto wake Ridhiwani, mtajisikiaje?
Africa ni bara jeusi. Limejazwa vibaraka na majuha, hata wanamapinduzi wachache waliopo hudharauliwa na kuonekana wenye dhambi tu.mimi nashindwa kuwaelewa watanzania ambao wamekua wakipiga fujo juu ya kifo cha Gadaffi.Swali langu ni moja tu kwa watanzania wenzangu,hivi leo hii JK akitangaza kumuachia madaraka mtoto wake Ridhiwani, mtajisikiaje?
Ameanza kujifunza ku-smile siku alipoongelea chanji ya rada ajitahidi kutabasamu lakini, mnafiki utamjua kwani tabasamu linachanganyika na kukunja ndita just imagine inatoka sura gani!!! alionekana kama binadamu anatoa kitu kigumu kwenye masaburi.Loooooooooooooooooooo!!!!!
Leave gaddaf alone. he is finished
hii kali napita tu nitarejea baadaye
Huenda Membe nae yupo kati ya watu waliokuwa wanafadhiliwa na Gadafi katika mbio zake za kuelekea 2015Hivi chaguzi zetu,kuna mgombea yoyote aliyewahi kufadhiliwa na mataifa ya nje? Kama yes, ni kwa kiasi gani? One thing that most of leaders in Africa would remember the late Gaddafi, ni huruma yake kwa waliokuwa tayari kujipendekeza na kuomba misaada hata kama ni risasi za kumpindua rais au kuzima wanaompinga. Yeyote atakayeanza was his friend indeed!