Aisee! Huu wimbo Nibebe wa Kusah x Barnaba una mwaka sasa ila mimi ndio kwanza nimeusikia leo. Kuna wasanii wanajua kuimba ila hawana nyota. Mashairi mazuri, ujumbe mzuri wa mapenzi, sauti tamu, mdundo mzuri.
Nibebe nibebee, nibebeeeeee.
Kwa kila Hali nibebeee...