Ni sawa kabisa maana mpaka sasa katiba iliyoko inaruhusu uhuru wa mawazo, ila hilo unalofikiri kuwa sahihi kwa sasa anzisha thread yake ili upate michango ya walio wengi, mwenzako kaanzisha thread na jubilee ya Mbowe, wewe usipindishe :A S 465:
Wewe si mwana CDM it seems ni kibaraka wa Magamba kwa hyo ww kaa pembeni utizame chama jinsi kinavyozidi kusonnga mbele,hayo unayoyazungumzia ni mtizamo wako binafsi kwa hyo nawe ho ndio uwezo wako
kumbe ni kopo tupu bila mfuniko.
hahahaa tumetukanwa sana tumedharirishwa sana sasa mwisho....hahaha ..EL?haya bwana mi sichangii tena hii thread!!!!!!!nimetukanwa sana,nimedharirishwa sana kumbe yote hii ni kuitakia mema chadema!!!!!!!!!but happy birthday kamanda mbowe!!!ila yatosha kamanda!!!!wape hata wakina mnyika uone mambo kamanda!!!!!
Mwanzisha uzi anamzungumzia Mbowe, ww upo kwenye mshangao wa tarehe ya Uhuru wa Tanganyika.Binafsi niko nyuma ya wakati Tanzania ina miaka (47) tokea imeanzishwa 26-4-1964 mpaka 9-12-2011. Kwa hiyo nchi inayosherekea miaka 50 si Tanzania labdo mnisaidie hapo.:spy:
mtoto anasherehekea siku ya kuzaliwa baba yake marehemu anasema ni yeye alizaliwa,Binafsi niko nyuma ya wakati Tanzania ina miaka (47) tokea imeanzishwa 26-4-1964 mpaka 9-12-2011. Kwa hiyo nchi inayosherekea miaka 50 si Tanzania labdo mnisaidie hapo.:spy:
Mwanzisha uzi anamzungumzia Mbowe, ww upo kwenye mshangao wa tarehe ya Uhuru wa Tanganyika.
I
ng'oa hii kitu toka uongozi wa chadema tusonge mbele!!!hii kitu boga jamani!!!!!
Makamanda na wapambanaji tunaomba tujumuike na kamanda Freeman Aikael Mbowe (MB) ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni ktl ibada ya kutoa sadaka ya shukurani kwa kufikisha miaka 50.ibada itafanyika ktk kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Usharika wa Nshara tarehe 11/12/2011 na baadae kwenye tafrija fupi itakayofanyika Nyumbani kwake Nshara.
kuna mashetani matatu nayaona yapo yuma yako yanashughulika kweli kweli!!!nasema uongozi wa chadema katika hali ilopo sasa nchini kama tungepata kamanda halisi pale juu,ccm hawana lao kabisa!!!!kamanda wetu mbowe ana madhaifu mengi ya kiuongozi,tudiscuss hilo!!!!ccm kwa mazingira yaliyopo site hawana lao kama tutapata kamanda wa ukweli!!!!
Hiyo sherehe itagharamiwa na chama. Huu pia ni ufisadi.