Jua linapoiaga dunia!!

wapi wewe umedownload unasema umepiga kwa camera yako...si autralia hiyo?
 
Jua linapoaga dunia ndio nini? Uhusiano wa jua na dunia ni wa kudumu, siku wakiagana ujue kimetunukia
 
Hilo jua halijazama bado kwenye tope!
 
Ooyooo hizi picha ni murua sana na hizi siyo za kibongo ni za ulaya kwa sisi bongo hata tuzikiri uchi hatupawafikee hapo lakini tukiwa na uzalindo tutafika yaani nnayuka na kupuliza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…