Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,488 Reaction score 54,967 Sep 17, 2026 #41 Seran said: Ni ishara ya agano lililowekwa na mungu kutoiangamiza tena dunia kwa mvua! Click to expand... Kwa mvua ama kwa maji
Seran said: Ni ishara ya agano lililowekwa na mungu kutoiangamiza tena dunia kwa mvua! Click to expand... Kwa mvua ama kwa maji
Gunner11 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2021 Posts 14,912 Reaction score 28,655 Sep 17, 2026 #42 The Icebreaker said: Kasome kitu kinaitwa Ice crystals, Kifupi ni kwamba hiyo hutokea pale mwanga wa Jua hupita katika mamilioni ya tiny hexagonal ice crystals zinazo ning'inia katika mawingu ya Cirrus yenye mwinuko wa juu. Click to expand... Umeandika katika namna ambayo hakuna mtu mwenye uzoefu na hayo mambo ataelewa
The Icebreaker said: Kasome kitu kinaitwa Ice crystals, Kifupi ni kwamba hiyo hutokea pale mwanga wa Jua hupita katika mamilioni ya tiny hexagonal ice crystals zinazo ning'inia katika mawingu ya Cirrus yenye mwinuko wa juu. Click to expand... Umeandika katika namna ambayo hakuna mtu mwenye uzoefu na hayo mambo ataelewa
Seran JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 34,846 Reaction score 100,037 Sep 17, 2026 #43 Mtoto halali na hela said: Kwa mvua ama kwa maji Click to expand... Maji ya bomba? Mvua mzee
haszu JF-Expert Member Joined Oct 10, 2017 Posts 1,567 Reaction score 3,838 Sep 17, 2026 #44 The Icebreaker said: haszu Ni kweli leo ni sikukuu yenu? Click to expand... wewe jamaa utakua mchicha mwiba bila shaka
The Icebreaker said: haszu Ni kweli leo ni sikukuu yenu? Click to expand... wewe jamaa utakua mchicha mwiba bila shaka