😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Aliyeunda hizi bus (Daladala) aliweka full option pazia zilikuwepo!! ila zikifika huku ndo yale yale uharibifu na kutothamini watumiaji usafiri Huu...Hivyo vipazia siku 2 tuu vitachanika kwa purukishani watu tunapandia madirishani mzee halafu vitaleta joto zaidi,.we jikaze tuu!!!
*MbagalaMagari ya mbagara rangi 3, Uweke pazia
Asante*Mbagala
hahaha