Jtahd upitie inaweza kuwa msaada kwako pia.

deecharity

JF-Expert Member
Nov 5, 2010
931
503
Habari zenu wanajamvi. Nimeona 2share matukio ya kimaisha naamin nany mtajfunza k2. Nilikutana na galfrnd wangu akiwa amemalza 4m cx anasubr kwenda chuo wakat huo mimi nkiwa 4m cx means alikua kaniacha kdato k1. Maisha ya mapenz yalianzia hapo na 2lienjoy, matokeo yake yakaja kutoka akawa amepata dvsn 1.8 na akachaguliwa kwenda udsm. Mi ckujal na nikampa zawad kulngana na uwezo nlokua nao kpnd hcho na hongera juu thoug frnds wangu wakawa wanasema hapo ndio unamkosa kiukwel nilichukulia poa sn. Coz nliaminin hata hao wanaume mi km mimi 2. Maisha yakawa yanasonga akaenda rpot chuo na 2kaweka ratba kila mwez yeye anakuja au mimi naenda na nkampa uhuru awe anaenda bash zote znazofanykia chuo ila club ctak aende na kwel alikua anafanya hvyo muda mwngne anancol hta sa9 ucku kuwa ndio anarud rum. Mwaka wake wa kwanza ukaisha salama nami nkawa nimemalza cx kwa hyo natakiwa kwenda chuo nikawa nimepata chuo flan cha engneern hapa tz bt parents nao wakawa wamepata chuo flan ulaya ila ckupenda kwenda huko kwa time ile coz nliisha waambia kuwa mastaz ntafanya out. Mungu akajalia nkaanza chuo mi nkawa mwaka wa kwanza nae mwaka wapl. Ckumoja aliniudh mi nkamtakia bora 2seprt na kwel 2kawa hatuna mawasliano km two wkc bt cku nkajshusha nkamchek 2kayamalza ila mawasliano akawa mzto sn nkamuulza rzon akasema kpnd umeniacha nlikusalt so naona km nakuarbia future yako. Mh nkadoubt inamana wthn two wkc umepata mchz na mkozoeana mpaka kusex by da way coz nilmpenda na nlikua cjui ukcheche nkasamehe yakaisha. Imefka cku moja npo likzo nkaingia fb nkakuta m2 amentext bro ucmwache gal wako ni wife material nkamulza wamfaham flan akasema yap ni clasmt wangu kumbe jamaa kala mzgo. Cku moja npo hm nkapokea cm jamaa akasema nimekosea namba nkamulza wamtaka nan akajbu gal wangu na kwel namba zltofautia codno 2. Kuja kuchunguza na jamaa nae anapga duuh nlchoka. 2kaachana akapata kaz ya ualm huku mi bdo npo chuo. 2kawa frnds kuptlza ila wenzie wakawa wanabembeleza nmsamehe kiukwel nimeshndwa mpaka leo.
 
Kwahiyo unatakaje sasa? manake nimeshindwa kukuelewa, labda ngoja wengine waje
 
ofkozi haya kwa wanawake wengi wa chuo ni kawaida sana ila usiwe na roho ya kuteki ize vitu kiasi hicho kuwa siriazi na laifu!!
 
kijana u are young hebu fanya ujiendeleze na maisha yako.. the fact kwamba umeileta hii mada unaonekana bado unawaza kumrudia huyo mdada ambaye kama ulivyosema ameshamegwa na wanaume kama wawili ama zaidi na sasa unawaza kurudiana nae??? tafakari... urafiki endeleeni ila kunako moyoni na downstairss acha!!! ni mtazamo tuu huo mdogo wangu
 
Ngoja nijifiche ili upate muda wa kurekebisha lugha yako!
 
Habari zenu wanajamvi. Nimeona 2share matukio ya kimaisha naamin nany mtajfunza k2. Nilikutana na galfrnd wangu akiwa amemalza 4m cx anasubr kwenda chuo wakat huo mimi nkiwa 4m cx means alikua kaniacha kdato k1. Maisha ya mapenz yalianzia hapo na 2lienjoy, matokeo yake yakaja kutoka akawa amepata dvsn 1.8 na akachaguliwa kwenda udsm. Mi ckujal na nikampa zawad kulngana na uwezo nlokua nao kpnd hcho na hongera juu thoug frnds wangu wakawa wanasema hapo ndio unamkosa kiukwel nilichukulia poa sn. Coz nliaminin hata hao wanaume mi km mimi 2. Maisha yakawa yanasonga akaenda rpot chuo na 2kaweka ratba kila mwez yeye anakuja au mimi naenda na nkampa uhuru awe anaenda bash zote znazofanykia chuo ila club ctak aende na kwel alikua anafanya hvyo muda mwngne anancol hta sa9 ucku kuwa ndio anarud rum. Mwaka wake wa kwanza ukaisha salama nami nkawa nimemalza cx kwa hyo natakiwa kwenda chuo nikawa nimepata chuo flan cha engneern hapa tz bt parents nao wakawa wamepata chuo flan ulaya ila ckupenda kwenda huko kwa time ile coz nliisha waambia kuwa mastaz ntafanya out. Mungu akajalia nkaanza chuo mi nkawa mwaka wa kwanza nae mwaka wapl. Ckumoja aliniudh mi nkamtakia bora 2seprt na kwel 2kawa hatuna mawasliano km two wkc bt cku nkajshusha nkamchek 2kayamalza ila mawasliano akawa mzto sn nkamuulza rzon akasema kpnd umeniacha nlikusalt so naona km nakuarbia future yako. Mh nkadoubt inamana wthn two wkc umepata mchz na mkozoeana mpaka kusex by da way coz nilmpenda na nlikua cjui ukcheche nkasamehe yakaisha. Imefka cku moja npo likzo nkaingia fb nkakuta m2 amentext bro ucmwache gal wako ni wife material nkamulza wamfaham flan akasema yap ni clasmt wangu kumbe jamaa kala mzgo. Cku moja npo hm nkapokea cm jamaa akasema nimekosea namba nkamulza wamtaka nan akajbu gal wangu na kwel namba zltofautia codno 2. Kuja kuchunguza na jamaa nae anapga duuh nlchoka. 2kaachana akapata kaz ya ualm huku mi bdo npo chuo. 2kawa frnds kuptlza ila wenzie wakawa wanabembeleza nmsamehe kiukwel nimeshndwa mpaka leo.

kizunguzungu tu hapa..
 
1„51…31„01„11…21…31ƒ5 1„41…31„41…2 1„51„01…51ƒ51…81„0 1„41†51„61„41„21„0
 
Ukikua utaacha kupenda, mwanamke sio wako tu, vile vile mwanamme sio wa mke mmoja tu. Angalia maisha yako binafsi achana na wanawake wewe, ukipata twanga, ukikosa tulia
 
Je wewe mleta mada ni msomi? Yaani msomi nzima hajui lugha ya kuwasiliana, huu ni ugonjwa wa kitaifa! Thread nzima sijui ameandika kwa Kiswahili, Kiingereza, au ile lugha ya uchochoroni (slang) inayotumiwa na watoto wanapobalehe.
Hata lugha inakushinda, je utaweza kusimama mbele ya jamii ya kimataifa kwa mdomo ufafanue jambo? Ikiwa umeshindwa kufupisha hadithi fupi kama hiyo, je utaweza kuwafafanulia wazee wetu madhara ya sera mbovu na wakakuelewa?
UMENIBOA SANA, KWELI ELIMU IMEYEYUKA
 
Back
Top Bottom