J's...!!!!

Sawa viatu vyako ni vizur na vyetu vbaya hongera mkuu kwa kuwa na raba kaliiiii
 
Kwangu Air Jordan 1 ndio the best kwa series zote za Js sneakers
 
Vya marangirangi hapana bana labda hivyo vyeusi!
 
Sawa viatu vyako ni vizur na vyetu vbaya hongera mkuu kwa kuwa na raba kaliiiii
sasa unamalalamikia nani ili iweje sasa unatia huruma ili kiwe nn acha unyonge wewe n wa kiume
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…