Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 41,106 Reaction score 64,100 Oct 1, 2026 #2 Inawezekana mapato kutoka kwa wagonjwa yako chini; zaidi ya kutegemea mapato kutoka kwa wagonjwa, kuna vyanzo vingine vya mapato?
Inawezekana mapato kutoka kwa wagonjwa yako chini; zaidi ya kutegemea mapato kutoka kwa wagonjwa, kuna vyanzo vingine vya mapato?
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 18,088 Reaction score 58,464 Oct 1, 2026 #3 Mbona unaandika kama unakimbizwa