JPM unaziweza siasa za nje?

Mtini

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
1,491
2,355
Watu wengi walisema mkuu huwezi siasa za nje, mara ooh eti huna exposure, mara vile mara hivi.....

Ni wakati wako wako sasa wa kuwaonyesha wale waliokuponda namna ulivyo fundi katika siasa za nje na kujenga mahusiano bora yenye maslahi na tija kwa Taifa....
 
Nilitegemea kukuta maswali kutokana na kichwa cha Uzi wako. Badala yake nimekuta mambo mengine tofauti.

Anyway,Dr Magufuli haziwezi siasa. Za ndani zenyewe zinamshinda,je za nje ataziweza?
 
Unafikiri atakayejua ni nani, ni mimi na wewe au yeye?
Wote,ila yeye ataanza kwanza.Kachaguliwa hajaenda kusema hata shikamoo kwa wakubwa,mara hatuna haja ya misaada tunajiweza,mara tunaweza kuwa doner country...soon atajua ukweli wake na sisi tutafeel pinch yake
 
Kwani dr mahiga hayupo?
Maana mlisema ni mtaalamu sana wa mambo hayo
 
Nilitegemea kukuta maswali kutokana na kichwa cha Uzi wako. Badala yake nimekuta mambo mengine tofauti.

Anyway,Dr Magufuli haziwezi siasa. Za ndani zenyewe zinamshinda,je za nje ataziweza?

Za ndani hazijamshinda sema lilikuwa zigo la misumari
 
Hivi push ups na mapanga shaa hazina ushawishi huko nje tumtume akapige shoo huko? Maana mzee yuko vizuri sana katika hiyo fani.
 
Kwani dr mahiga hayupo?
Maana mlisema ni mtaalamu sana wa mambo hayo
Mahiga anamuogopa Magu, anaogopa kutoa ushauri ulio tofauti na mawazo ya bosi wake kibarua kitaota nyasi. Bosi wake analoamini ndio hilo hilo. Ukiwa kijana Huwezi kuanza kujitegema kwa kumtukana babako kisa tu una plan kwenda kupanga nyumba yako.
 
Wazungu hawataki kusema ukwel nahis wameona magu ni msiri sana na nchi yke na mabalozi wao wanaogopa kumpa magu ushauri feki na wameona wataingia hasara kwa huyu bwana hivyo lizima watumie mbinu ya kiuchumi kumlegeza.Cha kushangaza kuna watanzania wanashangilia sjui kama ni mambo ya vyama ving au ndo utumwa wenyewe,kwa taarifa ynu wazungu bado wanatutawala hivyo hawapendi vikwazo na hawa mabaloz wao ndo mashshushu.Kiongoz yoyote shujaa kwa wazungu ni adui na kinyume chake ni rafiki yao.Tanzania kwanza tafadhalin!!
 
Kwa mfano ,ww familia yako ni maskin lakin una mashamba yenye rutuba nzuri,mistu asiria,wanyama poli pamoja na rasilimal zote zilizoko chin ya ardhi na juu ya ardhi yako lakin hua unaztumia rasha rasha,sasa kuna familia tajir ikagundua utajiri huo kuwa unao lakin baba wa familia na watoto wanaona kama ni vtu vya kawaida hawavijali tena hawavitumii ipasavyo.Hii familia tajili ikasema nitakuwa nawasaidia kimaisha ili muondokane na umasikin kwa kuwapa fedha kiasi mzitumie vizuri lakin nataka kwenye familia yenu msigombane kabisa,tena nataka mnipe baadhi ya ardhi nfanye utafiti kama naweza fanya uzalishaji kwa ujinga wa umaskin wenu mkakubali,sasa kizazi ya familia masikin kimebadilika na kujitambua kinaonyesha dalili za kuto mtegemea hyu tajili unafikili tajili atawaza nn juu ya kipande cha ardhi ulicho mpa,kujinasua inabid ukutishie kutlkukupa kile kifedha aone je bado unamsimamo uleule,swali je akishaondoa kile kifedha chaki familia yako itabidi ifanye nn kwa rasili mali zote hapo juu zilizotajwa?
 
Uwe unatofautisha herufi "r" na "l"
 
Watu wengi walisema mkuu huwezi siasa za nje, mara ooh eti huna exposure, mara vile mara hivi.....

Ni wakati wako wako sasa wa kuwaonyesha wale waliokuponda namna ulivyo fundi katika siasa za nje na kujenga mahusiano bora yenye maslahi na tija kwa Taifa....
Siasa za ndani ni nyepesi sana maana watanzania hawajui wanataka nini? Wajitegemee ama waendelee kupata misaada. Za nje wazungu walizoea kuwaandaa vibaraka wao sasa mwaka huu ni tofaut hakuna kibaraka wao maana mikataba yao itageuzwa geuzwaa waende kwa kweli magu ni jembe
 
mmh,kweli watu bado hamjitambui,itafika siku hata wakikwambia mke wako ni wa mzungu au mchina utakubali wewe.
Mpaka leo kama hujui dunia hii ni ya mzungu una matatizo.Wameendelea miaka 1000 mbele yetu kiuchumi na teknolojia.Saudi Arabia pamoja kuwa ndo taifa tajiri wa mafuta duniani,mpaka leo bado ana mlamba mzungu miguu,mwangalie Irani alileta kiburi wakamuwekea vikwazo mpaka akanyenyekea akarudi kwenye mstari. Sasa Tanzania ina nini cha kujilinganisha?Tanzania ya Magufuli kabla hata haijatembea,inajigamba inaweza kukimbia.Tuache kujipa hope za kijinga
 
Back
Top Bottom