Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,334
- 72,798
Jana kwa Mara nyingine tena matumaini ya Watanzania Wakandarasi, waalimu, wakulima na Wazabuni waliokuwa wanaidai serikali kwa muda mrefu na kudhani muda wa kulipwa umefika yalipotea tena.
Sababu ni kuwa JPM ameamuru kuhakikiwa upyaadai hayo kwani kuna mashaka kuwa yapo yasiyo halali yamechomekwa. Binafsi namsifu kama hilo limegundulika nw hatua zinachukuliwa.
Lakini kama tutakumbuka madai haya ya karibu Trilioni moja ni ya Watanzania waliotafuta hata kukopa ili kufanya biashara na serikali na kwamba awamu ya JK iliposhindwa kulipa akaunda tume nyingi za kuhakiki madeni hayo. Kumbe hata hizo tume nao ulikuwa ulaji tuu? Mbona huyu jamaa amesababisha mateso na hata kufilisika kwa raia wake?
Ona sasa Magufuli anatumia muda wake mwingi kiponya majeraha ya zamani yaliyojaa usaha na kushindwa kupata muda wa kutosha kupeleka kasi maendeleo ya nchi.
Ni wakati sasa JPM awe wazi na kusema uongozi uliopita ulikuwa janga la kitaifa nw ulioza hivyo hata kama wadai hao wa serikali, wakandarasi, waalimu, wazabuni na wakulima wakiona maumivu ya kusubiri uhakiki mwingine wajue sio yeye bali ni uozo wa serikali ya JK uliozaa majipu anayotumbua kwa sasa.
Na kama alikuwa failure amzuie sasa kutaka kujihusisha husisha na mwenendo wa utendaji wa serikali kama alivyo tumia ziara ya Rais wa Vietnam kuchomekea yake.
JPM ni ukweli kuhusu JK utakao kuweka huru, huyo ni mswahili bila kumsema hadharani hatakuacha hata kidogo na wanao pata maumivu watakuwa wanakulilia wewe yeye mwanzilishi kakaa pembeni anacheka.