JPM: Niombeeni uraisi usinipe kiburi

SNAP J

JF-Expert Member
Dec 26, 2013
7,106
8,044
Screenshot_2017-05-01-11-50-49-084.jpeg

Hapo hana kiburi..akiwa na kiburi sijui itakuwaje.
 
Inafurahisha sana pale shetani,anapojitambua kua yeye ni mwovu.tena siokua anakiburi tu,ana jeuri,dharau,matusi,mdhalilishaji,muonevu,u mtovu wa nidhamu wa hali ya juu sana,kwa kutumia lugha chafu dhidi ya umma fyokofyoko,ukimwi nyie,tetemeko nyie,nimewasamehe kwa kuchagua wapinzani,nikawapikie eti ni raisi huyu !

Walioimba Dodoma, "wanaimani na mtu fulani,ingekua Mimi ningepoteza wengi "
Uliotosa ruvu hawatoshi ?
Mpaka uongeze na wengine kwa kuimba wimbo tu !
Alafu mliotosa ruvu mnawaita wahamiaji haramu.watoa ripoti wakiieleza mabaya yenu UN mnawafukuza.
Alafu na askofu uchwara nae anamuombea mtu wa hivi.nchi imesha kwama kabisa sasa hivi.
Raisi anayetaka wananchi wake waishi kama mashetani !, askofu badala ya kumshangaa anamtukuza ! Hizi dini,sio zile tulizo lelewa tukizifuata,hizi ni nyigine kabisa !
 
Dah!!Joy umepiga penyewe.
 
Bange mbaya
 
Back
Top Bottom