Wewe unadhani kama angekuwa hajasema, mahakama isingeamua kwa "hasira" kiasi kile kuwapiga chini wakurugenzi wote kusimamia chaguzi zote nchiniNimekuwa nikisikia mara kwa mara eti Rais Magufuli alisema kwamba "...... mshahara nikulipe, gari nikupe....... halafu utangaze mpinzani kashinda" - ujumbe huu akiwa amewapa Wakurugenzi wa Majiji, Manispaa na Miji ambao ni wasimamizi wa uchaguzi. Mimi siamini kama Rais angeweza kutoa tamko kama hili. Lakini kama alilitoa, ilikuwa lini na wapi? Kama ni kweli tuwekeeni ka-clip!
YouTubeNimekuwa nikisikia mara kwa mara eti Rais Magufuli alisema kwamba "...... mshahara nikulipe, gari nikupe....... halafu utangaze mpinzani kashinda" - ujumbe huu akiwa amewapa Wakurugenzi wa Majiji, Manispaa na Miji ambao ni wasimamizi wa uchaguzi. Mimi siamini kama Rais angeweza kutoa tamko kama hili. Lakini kama alilitoa, ilikuwa lini na wapi? Kama ni kweli tuwekeeni ka-clip!
Na mstaafu hakuwa mchangamfu kama kawaida yake nadhani hakupendezwa na kauli ileacha hiyo, leo kwenye sherehe za kusoma quran kamtania jk utani mmbaya,
ule utani sio mzuri kwa mtu mwenye heshima kama JK, mimi sikuangalia kwenye TV ila sikutegemea JK angefurahi,sasa hapo mkuu itabidi ajifunze utani,alafu ile ni shughuli ya dini,sidhani kama ma sheikh wamefurahia ule uhuniNa mstaafu hakuwa mchangamfu kama kawaida yake nadhani hakupendezwa na kauli ile
Nimekuwa nikisikia mara kwa mara eti Rais Magufuli alisema kwamba "...... mshahara nikulipe, gari nikupe....... halafu utangaze mpinzani kashinda" - ujumbe huu akiwa amewapa Wakurugenzi wa Majiji, Manispaa na Miji ambao ni wasimamizi wa uchaguzi. Mimi siamini kama Rais angeweza kutoa tamko kama hili. Lakini kama alilitoa, ilikuwa lini na wapi? Kama ni kweli tuwekeeni ka-clip!

πππ’π’Kaa,mkao wa kula clip tu watakuwekea ila nadhani utadai nyingi sana maana kuna matamko yameishawahi tolewa na huyu mtu shetani aliposikia alitimua mbio''mkimwona mtu anakisima na anawazuia msichote Maji mkamateni mtumbukizeni kwenye kisima.''
Hii nayo alisema yeye au hahaaa