ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,552
Baada ya baba wa taifa mwl Nyerere,akafuata Hayati Waziri mkuu Moringe sokoine,then akapita Mzee wetu Lyatonga Mrema ,Kiutendaji Rais wetu wa sasa nae kafuata nyayo za watangulizi hao ambao uongozi wao ulisisimua nyoyo za watanzania kwa kufanya mambo ambayo yanakubalika kwa jamii kwa kiasi kikubwa mno,Jpm kawa mfano wa kuigwa kwa viongozi wengi wa afrika!wengi wanatamani kiongozi huyu atawale milele baada ya kuifanyia marekebisho katiba,Tuwashangae wanaompinga