Doto Dotto
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 3,803
- 2,775
Wana jf woooote heshima kwenu. ni imani yangu kuwa wk-end inaenda poa
Leo Mh Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Ndug John Pombe Magufuli wakati akihutubia ktk siku ya wafanyakazi dunian kuna kauli kaitamka kuwa:
HAJUI KWANINI ALIOMBA NAFASI YA U RAIS NA ANAJUTA
Me binafsi imenikera sana japokuwa namkubali na nilimpigia kura
Mh Rais kumbuka waTanzania now wana imani kubwa na wewe kuliko mtu yeyote, na matumini yao yaliyokuwa yamepotea now yamerudi baada ya wewe kuonyesha kuwa unawajali
Sasa unaposema eti unajuta kwanini uliomba nafasi ya u Rais hatukuelewi hata kidogo, unatuzingua unatukatisha tamaa. inaonekana ulilazimishwa kuiomba hiyo nafasi na haikuwa kusudio lako uwe rais.
Lakini usikate tamaa mapema hivyo, bhana! tunakupa moyo endelea na tunakuombea "AMANI YA BWANA IWE PAMOJA NAWE, USIOGOPE HUTAKUFA" Don't give up, plz just be patient and God bls u