Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,286
- 13,458
Abnormalbilioni hewa.
swissme
hospital cheki wakinamama wa mikoa jinsi wanavyojifungua yeye mkabila kutwa yuko chato.
View attachment 380617
swissme
Abnormalbilioni hewa.
swissme
hospital cheki wakinamama wa mikoa jinsi wanavyojifungua yeye mkabila kutwa yuko chato.
View attachment 380617
swissme
Theoretically, ipo. Practically, haipo.Hivi unaamini kama kuna operesheni UKUTA?
You can bet your house on it.
Ndio Shida, kazi za katibu kata ufanye wewe, Mbunge wewe, meya wewe, DC wewe.Imagine hapo kabla ya kauli ya Mkuu haijatoka.Sasa ndio kasema.
mtamwelewa lisu anamaanisha nn hv ww una frem unalipia bei kubwa unalipia serekali mapato huyu mmachinga anatandika apo nje halipi kodi halipi frem na iyo bidhaa anaiuza bei rahisi mteja ataenda wapi? daa jamaa anatakiwa apate ushauri sana kabla hujatoa haya matamkoNdio Shida, kazi za katibu kata ufanye wewe, Mbunge wewe, meya wewe, DC wewe.
Hayo mambo angeweza kuziambia mamlaka kukaa pamoja na machinga na kupanga vema la kufanya
Dahmtamwelewa lisu anamaanisha nn hv ww una frem unalipia bei kubwa unalipia serekali mapato huyu mmachinga anatandika apo nje halipi kodi halipi frem na iyo bidhaa anaiuza bei rahisi mteja ataenda wapi? daa jamaa anatakiwa apate ushauri sana kabla hujatoa haya matamko
Wenzako washaanza kufyatua wewe endekea kuchat jf utapata wapi wapiga kurahospital cheki wakinamama wa mikoa jinsi wanavyojifungua yeye mkabila kutwa yuko chato.
View attachment 380617
swissme
Watu hawadanganyiki kitoto namna hiyo!Kwa wanaoliona suala la wamachinga kuruhusiwa kufanya biashara katika majiji, manispaa, etc ni njia nzuri sana ya kudhibiti operation UKUTA hapo September 1, kati ya watu ambao wangeunga mkono operation UKUTA basi wangekuwa wamachinga kama wangeondolewa na biashara zao kuathirika.
Kwa hatua aliyochukuwa Rais. JPM kuruhusu wamachinga waendelee na biashara mpaka watakapo tafutiwa maeneo salama ni kifo kwa operation UKUTA.
Wafanyakazi wengi hawatashiliki operation UKUTA, na wengi waliokuwa wanategemewa ni wamachinga esp maeneo ya mijini.
Mungu ibariki Tanzania.
Dah..Si ni huyu huyu alisema kazi ya kulinda kura tumuachie yeye ??[emoji15] [emoji124] [emoji124]Never undermine grassroot organization skills za mzee Lowasa!, watakuja watu hutojua wametokea wapi!
Ingependeza zaidi kama ungeji-commit kwa kusema "I can bet my house".Hivi unaamini kama kuna operesheni UKUTA?
You can bet your house on it.
Umachinga sasa utakuwa mgumu, wengi wao walikuwa wanachukua bidhaa kwa malikauli bila kupewa risti. Kumtaka machinga awe na risti ya bidhaa zake, wengi wataondoka barabarani.mtamwelewa lisu anamaanisha nn hv ww una frem unalipia bei kubwa unalipia serekali mapato huyu mmachinga anatandika apo nje halipi kodi halipi frem na iyo bidhaa anaiuza bei rahisi mteja ataenda wapi? daa jamaa anatakiwa apate ushauri sana kabla hujatoa haya matamko