Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Wadau wa JF
Mojawapo ya malengo ya Serikali ya awamu ya tano ni Uboreshaji wa Sekta ya Afya nchini. Malengo hayo yanazidi kutimia pamoja na changamoto mbalimbali zinazojitokeza.Katika kutekeleza hilo hivi karibuni Mhesh Rais wetu Dr John Pombe Magufuli ametoa Tshs millioni 700 kwa ajili ya Ujenzi wa Kituo cha Afya Muriet Mkoani Arusha.
Hongera sana JPM kwa utekekezaji wa vitendo wa ahadi ulizotoa kwa watanzania wakati wa Uchaguzi.