Hiki kitu lazima kitakugharimPoleni sukuma gang kama mnapenda sana nendeni mkajizike nae
Hilo chogo ulilonalo ni wazi we ni taahiraNdio Ukweliii!
Daraja jipya la Wami,analolitumia Riziwani kumsifia SSH,ni moja ya kumbukumbu kubwa,miongoni mwa nyingine nyingi alizoziasisi hayati Baba JPM.
Wakati SSH akikazana kwenda kukopa nje,huku akituongezea mzigo wa Madeni.
Wakati SSH akitupiga na vitu vizito visogoni watanzania wote.
Kwa wingi wa Tozo na utitiri wa makato lukuki kwa miamala kibao nchini.
Awamu ya sita na wapambe wake!
Jitahidini na nyinyi kuja na vya kwenu,na mtasifiwa kwa mazuri mtakayotutendea na tutawaponda kwa mabaya yenu mtakayotundea!
"Kitaifa
Daraja la mto Wami kukamilika SeptembaJumanne, Aprili 27, 2021
Daraja la mto Wami kukamilika Septemba
By Bakari Kiango
Muktasari:
Daraja jipya la Wami lenye urefu wa mita 510 na upana wa mita 11.85 ambalo limezingatia sehemu ya barabara za magari, watembea kwa miguu na vizuizi kwa ajili ya usalama hivyo linatarajiwa kupunguza ajali katika eneo la Mto Wami na kuhuisha huduma za usafiri na uchukuzi katika barabara kuu ya Chalinze - Segera.
Dar es Salaam. Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) Mkoa wa Pwani, Yudas Msangi amesema daraja jipya la Wami lenye urefu wa mita 510 linalounganisha miji ya Chalinze na Segera mkoani Tanga litakamilika Septemba mwaka huu.
Msangi ameyasema hayo leo Aprili 24, wakati akimpa taarifa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara aliyefanya ziara ya kutembelea daraja hilo linalogharimu Sh67 bilioni litakalokuwa na barabara unganishi zenye urefu wa kilomita 3.8.
Taarifa ya wizara hiyo, imeeleza kuwa Msangi amesema ujenzi huo kwa sasa umefikia asilimia 50.05 huku akimuahakikisha utakamilika kwa wakati kama ilivyopangwa
Mwananchinewspaper 2021.
Picha tafadhali ukiweka hapa tujue kwani wengine tuko huku Kwa Wamakonde Mtwara.Hakika mkuu.
Aliiacha wapi hiyo Wami? Mtu alishindwa kumaliza daraja miaka 5 ndio unamtaja hapa? 😜😜Ndio Ukweliii!
Daraja jipya la Wami,analolitumia Riziwani kumsifia SSH,ni moja ya kumbukumbu kubwa,miongoni mwa nyingine nyingi alizoziasisi hayati Baba JPM.
Wakati SSH akikazana kwenda kukopa nje,huku akituongezea mzigo wa Madeni.
Wakati SSH akitupiga na vitu vizito visogoni watanzania wote.
Kwa wingi wa Tozo na utitiri wa makato lukuki kwa miamala kibao nchini.
Awamu ya sita na wapambe wake!
Jitahidini na nyinyi kuja na vya kwenu,na mtasifiwa kwa mazuri mtakayotutendea na tutawaponda kwa mabaya yenu mtakayotundea!
"Kitaifa
Daraja la mto Wami kukamilika SeptembaJumanne, Aprili 27, 2021
Daraja la mto Wami kukamilika Septemba
By Bakari Kiango
Muktasari:
Daraja jipya la Wami lenye urefu wa mita 510 na upana wa mita 11.85 ambalo limezingatia sehemu ya barabara za magari, watembea kwa miguu na vizuizi kwa ajili ya usalama hivyo linatarajiwa kupunguza ajali katika eneo la Mto Wami na kuhuisha huduma za usafiri na uchukuzi katika barabara kuu ya Chalinze - Segera.
Dar es Salaam. Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) Mkoa wa Pwani, Yudas Msangi amesema daraja jipya la Wami lenye urefu wa mita 510 linalounganisha miji ya Chalinze na Segera mkoani Tanga litakamilika Septemba mwaka huu.
Msangi ameyasema hayo leo Aprili 24, wakati akimpa taarifa Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara aliyefanya ziara ya kutembelea daraja hilo linalogharimu Sh67 bilioni litakalokuwa na barabara unganishi zenye urefu wa kilomita 3.8.
Taarifa ya wizara hiyo, imeeleza kuwa Msangi amesema ujenzi huo kwa sasa umefikia asilimia 50.05 huku akimuahakikisha utakamilika kwa wakati kama ilivyopangwa
Mwananchinewspaper 2021.
Poleni sukuma gang kama mnapenda sana nendeni mkajizike nae
Huyo mamaako wewe,mbona hauko kwenye list ya watoto wake anbao wameorodheshwa?Acha kuleta ubaguzi na hisia za kibaguzi hapa, Hayati Dr Magufuli alikuwa Mwenyekiti wa CCM na mama yetu mpendwa kipenzi Cha watanzania mama Samia suluhu Hassani Ni Mwenyekiti wa CCM, Hayati Dr Magufuli alikuwa anatekeleza ilani ya CCM na mama yetu mpendwa mama Samia anatekeleza ilani ya CCM, Hayati Dr Magufuli alianzia alipoishia mh Dr kikwete na mama yetu mpendwa alianzia alipoishia Hayati Magufuli, Hayati Dr Magufuli alitumia Kodi za Watanzania kujenga nchi na mama yetu mpendwa anasimamia ukusanyaji wa mapato na kutumia kwa manufaa ya watanzania wote, Hayati Dr Magufuli Alikuta madeni ya nyuma na akalipa baadhi na kukopa Tena na mama Samia pia ameyakuta madeni ya nyuma na kulipa na kukopa kiasi kwa ujenzi wa Taifa letu , Hayati Dr Magufuli alikuwa Ni mwanaccm na mama yetu mpendwa mama Samia Ni mwanaccm pia
Acha Tabia yako ya hasira na kumchafua Rais wetu, acha chuki zako kwa mama yetu, acha kisilani chako kwa mama yetu Samia, acha ufitini kwa mama yetu, acha kupandikiza mbegu za kibaguzi katika Taifa letu, sisi hatutaki ubaguzi, tunahitaji umoja wa kitaifa, tunahitaji mshikamano na ushirikiano, jitafakari na badilika kitabia, Tumeshapita na kuvuka mstari wa ubaguzi na chuki , Tupo katika mstari wa upendo na kuvumiliana,
Kazi iendeleee
Kwani Hayati Dr Magufuli alikuwa mgombea Binafsi?Huyo mamaako wewe,mbona hauko kwenye list ya watoto wake anbao wameorodheshwa?
Kadri wewe unavyomuamini na kumsifia SSH,
Na mimi pia kwa Uhuru huo huo ninautumia kumsifia JPM aliyekuwa kipenzi halisi cha watanzania.
Kadri wewe unavyokazana kujikomba huku ukisaka uteuzi.
Sisi tutaendelea kuweka Pumba na Chuya hadharani.
Usijipe uhuru na mamlaka ya kusifia,ukitakajia watu wote humu tukubali tu.
Humu tuna opinion tofauti na ikitegemea uko angle gani hasa!
Kama uko kwa wasaka uteuzi,basi utasifia zaidi.
Kama uko site na unapambana na hali yako ...pia utayaongea yale yanayotokea live!
Ebu rudi kaisome historia .Alijenga 47 % kwa miaka mitatu, Samia kapiga 49% ndani ya mwaka....
JPM katelekeza gesi, dege beach nyumba project....
Kokote alikogusa magu ni hasara tu...
MUNGU alituhurumia akamlamba
Huwezi elewa hilo sababu umejaza ujinga kichwani.Hivi sukuma gang bado mnaota ndoto za mchana kwamba Kuna siku "mjinga wenu" mwingine ataruhusiwa kwenda ikulu?.
Naonea huruma sana.
Tulishasema never and never again!