GE2025 Joyce Shebe: Samia anatoa hoja nzito kwenye kampeni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,039
Mwenye Kiti mstaafu wa TAMWA Joyce Shebe anasema “Watanzania wamempokea na kumkubali Dokta Samia Suluhu Hassan katika kampeni za Uchaguzi kutokana na hoja nzito anazozitoa kama vile kuboresha matibabu kwa wasio na uwezo” Joyce Shebe – Mwenye Kiti mstaafu wa TAMWA
Your browser is not able to display this video.
 
 
Misukule ya chadema bado iko chini ya uvungu wa kitanda inalishwa unga wa dona, ngoja irudi ianze kuporomosha matusi
 
Misukule ya chadema bado iko chini ya uvungu wa kitanda inalishwa unga wa dona, ngoja irudi ianze kuporomosha matusi
Kwa hiyo unaamini kweli Tz tunahitaji matrekta milioni 10?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…