tena wana kazi kubwa sana, inabidi kufuatilia kwa ukaribu wa hali ya juu maendeleao ya wanafunzi. Imahine mwanafunzi anachora vikatuni kwenye karatasi ya majibu. na kwenye malezi yetu wazazi tuweke msisitizo wa elimu, watoto washike elimu. sio kutaka favours na kuzalisha mabomu ya baadae
hizo propagnda za wakiristo wa tanganyika. mbona hakuna waziri mzanzibar mkiristo lkn nchi ipo juuu kuliko kwenu kwenye wakiristo rushwa imejaa?
kuna wakristo na wanaojiita wakristo. wakristo ni wafuasi wa KRISTO kwa kila jambo, lakini wanaojiita wakristo, ni wale wanaotumia jina hilo, kwa mazoea tu, lakini ukiwaweka kwenye mizani hawana sifa.
Tanganyika kuna rushwa tena sana, nakubali lakini watanganyika sio watu wa kupenda upendeleo kama wazanzibar mlivyo shame on you.
mambo mengine mnatakiwa kuangalia,
1.je mna walimu wa kutosha kuanzia shule za msingi hadi sekondari?
2.walimu wanatekeleza majukumu yao inavyotakiwa?
3. wazazi mnakaa na watoto kuwasisitiza kujisomea au mnatilia mkazo kwenda baharrini kuvua saladini, kibua, chnagu, mkisi na wengine? (kipaumbele kinaamua nature ya matokea ya mwanao)
4. wanafunz wako serious na kitabu?
maswali haya yanaweza kuwajenga na sio kuwa walalamishi na kutaka upendeleo tu hapa
mithali 4:13 "...mshika sana elimu, usimwache aende zake...." hapa walikusudia wazanzibar waliyoiita elimu dunia, na kwa kuwa wao wanafikira ahera, wanatilia mkazo kwenye elimu ahera
Jamani nyinyi Wazanzibari kwanini mnataka kutumia WMD kuua nzi? Matokeo ya mitihani ya NECTA sio sawa na matokeo ya kura za U-rais ambayo hayawezi kuhojiwa na chombo chochote.
NECTA imetoa utaratibu wa kukata rufaa kwa mtu/mtahiniwa yeyote anayehisi kuwa ameonea. Mitihani iliyokatiwa rufaa husahihishwa upya.
Sasa nyinyi ndugu zetu Wazanzibari kama kweli mnaamini kwa dhati ya miyo yenu kuwa wanafunzi wenu wameonewa na NECTA kwanini msikate rufaa NECTA na mitihani hiyo ikasahihishwa upya? Mnaogopa nini? au kivuli chenu? Hiyo njia mnayotaka kutumia is wrong and it will end up you nowhere. Acheni SIASA.
Badala ya kuandamana kateni RUFAA NECTA ili mbivu na mbichi zijulikane.
Eti NECTA nayo imekuwa KERO ya Muungano! mnataka equal representation! BTW, it was wrong in the first place to have a representative in NECTA because NECTA (Primary and secondary education) is not a union matter.
hoja sio kufeli. hoja kufutiwa matokeo huku yeye wanawe akiwapa div 1. huu ni ****** mkubwa kufanywa na mama huyu. hivi unakaa na kumfutia mwanafunzi matokeo huku mtihani ukiuuza mwenyewe? huyu mama hii dokta kahongwa nini?
Anapendelea kanda gani hasa?.Ama mfa maji hakosi kutapa!!! yaan wewe unaimani kwamba Ndalichako ndo amesababisha watoto wenu kufutiwa matokeo?.Mkubali mkatae elimu dini ndo inawafanya watoto wenu waferi,Poleni sana tafuteni chanzo kwanza cha tatizo na si kulalamika tu!!.Au mnataka mbebwe hadi kwenye matokeo??Ndalichako ametekeleza wajibu wake na kwa hili anastahili pongezi!! Hongera sana Mama Ndalichako!!.ndalichako huyachakachua matokeo ya wanafunzi kwa Kikanda. Huyu mama ni janga la kitaifa
Anapendelea kanda gani hasa?.Ama mfa maji hakosi kutapa!!! yaan wewe unaimani kwamba Ndalichako ndo amesababisha watoto wenu kufutiwa matokeo?.Mkubali mkatae elimu dini ndo inawafanya watoto wenu waferi,Poleni sana tafuteni chanzo kwanza cha tatizo na si kulalamika tu!!.Au mnataka mbebwe hadi kwenye matokeo??Ndalichako ametekeleza wajibu wake na kwa hili anastahili pongezi!! Hongera sana Mama Ndalichako!!.
hoja sio kufeli. hoja kufutiwa matokeo huku yeye wanawe akiwapa div 1. huu ni ****** mkubwa kufanywa na mama huyu. hivi unakaa na kumfutia mwanafunzi matokeo huku mtihani ukiuuza mwenyewe? huyu mama hii dokta kahongwa nini?
basi kama ndo hvyo jitahidini na swala la elimu pia kama rushwa mmeweza kudhibiti, zenji mna vyuo vingapi vya elimu ya juu? siyo propaganda ila ndo hali halisi kwani mawaziri wote ni wakristu? usilete mambo ya dini hapa jibu hoja kama ilivyoletwa.hizo propagnda za wakiristo wa tanganyika. mbona hakuna waziri mzanzibar mkiristo lkn nchi ipo juuu kuliko kwenu kwenye wakiristo rushwa imejaa?
kweli wakatoliki tuko juu mpaka tunawaumiza vichwa watu, siyo wakristu wote wana uwezo darasani na wala siyo waislam wote hawana uwezo darasani. endelea hvyo hvyo na mawazo yako kwamba wakatoliki wanataka kula mali ya taifa peke yao, ukija kujua kwamba hauko sahihi wenzako tushakuacha mbali sana na bado tutazidi kutesa mpaka muombe poo na mbaya zaidi watoto wenu wanasoma kwenye shule hizo hizo za wakatoliki.hizi propaganda za wakiristo wa tanganyika kwamba waislam hawasomi. hizi propaganda za kanisa katoliko kutaka kula mali ya taifa peke yao. mimi muislam nilipokutana class moja na wakiristo nikiwaona hawana kitu kichwani. Ukija somo la Math hapo ndio usisema .div 111 ya necta kutoka zanzibar ikiingia univ huwa tishio.
Kwanza hakuna sheria ya kuhukumu watu wote kwa kosa la mmoja. Pili anaehukumu ndio aonyehe hiyo adhabu kaitoa wapi na kwanini, sio anehukumiwa. Kuwa makini kidogo.
ndalichako huyachakachua matokeo ya wanafunzi kwa Kikanda. Huyu mama ni janga la kitaifa
Huyu Bi. Ndalichako na NECTA yote + Waziri wa Elimu wote kwa pamoja wawajibike kwa kujiuzulu.
Wizi wa mitihani, ubabishaji ktk sera ya elimu, dhuluma za mishahara na stahili kibao za walimu, kudiddimia kiwaango cha elimu ngazi zote.... enaf! Wao wanapeleka watoto wao nje ya nchi ili wapate elimu nzuri, why? kwa sababu hawana imani na elimu ya hapa nyumbani coz wameiharibu sana elimu ya Tz.