ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,904
- 6,904
tena wana kazi kubwa sana, inabidi kufuatilia kwa ukaribu wa hali ya juu maendeleao ya wanafunzi. Imahine mwanafunzi anachora vikatuni kwenye karatasi ya majibu. na kwenye malezi yetu wazazi tuweke msisitizo wa elimu, watoto washike elimu. sio kutaka favours na kuzalisha mabomu ya baadae
mithali 4:13 "...mshika sana elimu, usimwache aende zake...." hapa walikusudia wazanzibar waliyoiita elimu dunia, na kwa kuwa wao wanafikira ahera, wanatilia mkazo kwenye elimu ahera