Joyce Ndalichako Amechemka, Ajipange!!!



uMetiririka visuri, lakini nina wasiwasi juu ya uwezo wao wa kuelewa na kutokana na kutokuwa na uwezo wataendelea kulalamika kama ambavyo mwalimu wako Saidi Mtanda anavyofanya
 
Mbona Prof. Hamza Njozi HUJAMTAJA? AU KWAVILE UMEONA ANAJITAMBUA?
 

Nafikiri sasa hivi uneona jinsi Ndalichako alivokemea siasa kwenye elimu. Nafkiri wewe utakuwa mwanafunzi was born wewe ni jipu inabidi utumbuliwe
 

sasa yapata miaka miwili tu baada ya kumuondoa, ulichokisema tunakishuhudia...kama mtoa mada ni makini arudie kusoma alicho andika na ulichomueleza then aje atupe mrejesho. siku hizi kuna A, B+, B, C, D, E na F. Halafu wanaogopa kusema FAIL, wanasema SATSIFACTORY KWA GREDI D NA UNSATSIFACTORY KW E!
 

Ni takribani miaka mitatu tangu uandike haya uliyoyaandika. N a kwa bahati nzuri sana nahisi ulifurahia pale wanasiasa walipofanikiwa mbinu zao na hatimaye mama Ndalichako kuondolewa pale NECTA. Hebu njoo tena utwambie hali ya elimu ikoje, pitia uone aina ya mitihani inayotungwa siku hizi, angalia viwango vya ufaulu wanavyosema vimepanda, jiridhishe maksi na gredi za A, B+,B, C, D, E na F! Je, si kuogopa kutamka FAIL kwa waliopata D na E (ambazo zimepunguzwa sana) kwa kuziita SATSIFACTORY na UNSATSIFACTORY!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…