]Ndalichako is one of the best brains in Tanzania for your information. Acha afanye kazi yake, maana yupo sahihi kabisa. Keep it up Joyce.
Ndalichako endelea kunyonga waislam na hiyo kamati yako ya kutunuku!
Na wote wanaokusifia ni wale wote ambao hawautakii mema uislam na waislam hapa tz.
Ndalichako endelea kunyonga waislam na hiyo kamati yako ya kutunuku!
Na wote wanaokusifia ni wale wote ambao hawautakii mema uislam na waislam hapa tz.
]
Kweli kabisa kwani ameweza kukiendeleza kile kilichoasisiwa na wenzake cha kukandamiza jamii flani na kuipendelea nyingine
Mwanasiasa mwenyewe ni Mbunge Said Mtanda ambaye ni ndugu ya Shukuru Kawambwa.Dr. Ndalichako anafanya kazi nzuri sana, tatizo hao wanasiasa wamezoea kuiba mitihani ili shule zao zifaulishe, sasa tangu huyu mama aingie necta kabana kila mahali ndio wanamtengenezea zengwe kumng'oa.
Kuna watu, kama Ndalichako wanasema eti wanasiasa wasiingilie kazi za elimu. Watendaji wa elimu wafanye wanavyotaka, wanasiasa wanyamaze tu, hata kama watendaji wamefanya madudu. Kutakuwa na umuhimu gani wa kuwa na wanasiasa? Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani anaongea sana kwa kujihami sawa na wanasiasa halafu haitaki siasa. Yeye ndiye mwanasiasa namba moja. Hatujawahi kuona Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani anayeongea ongea sana kama huyu.
Watendaji katika Wizara mbalimbali kama vile Elimu hususani Baraza la Mitihani wanavurunda kazi (mitihani) kila kukicha, wananchi na wabunge wanalalamika, wao kwa kujihami wanataka wasiingiliwe na wanasiasa. Je, kukosolewa ni kuingiliwa utendaji wao? Ukatibu utendaji SIO taaluma, ni cheo cha kupewa tu. Baadhi ya viongozi wa Baraza la Mitihani achieni ngazi kulinda heshima zenu.
Isingekuwa wanasiasa hadi leo kusingekuwa na sekondari za kata, wanafunzi wasingepata mikopo ya elimu ya juu kwa wakati kwa sababu ya watendaji wabovu kama wa Baraza la Mitihani. Kila mwaka wanafunzi watajinyonga kwa matokeo mabaya yanayosabibishwa na usahihishaji wa baraza ambao labda hata taaluma zao ni dhaifu.
Nashauri serikali wangechunguza background za taaluma za viongozi wa Baraza la Mitihani, nina wasiwasi kuwa ni fake).
Wanasiasa mhakikishe kuwa mnawadhibiti watendaji wote wabovu kulinda heshima ya taifa. Bravo Politicians.
leo nimeona shule moja ya msingi kuanzia darasa la 1 -7 wanatumia chumba kimoja kwa shift ya saa 1 kwa kila darasa #I .T.V mchana

Naona umetumwa wewe na Kina-Mtanda, au kama hujatumwa uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana. Hivi wewe kitendo cha kufuta matokeo na kufaulisha wasiokuwa wamefaulu unaona ni sahihi siyo? unafikiri kwa kutumia makalio wewe. Ndalichako yuko sahihi kwa asilimia 200. Mama songambele huyu jamaa katumwa!
Mwanasiasa mwenyewe ni Mbunge Said Mtanda ambaye ni ndugu ya Shukuru Kawambwa.
In other words Waziri wa Elimu anatumia wanasiasa ndugu zake, kutumia DINI kumwondoa Ndalichako.
Hiyo ndio issue yenyewe. Angalia vielelezo.
Shame, shame, shame!
Jamani hapa wanaompinga Dr. Ndalichako wanatekeleza maagizo waliyopewa ya kumwondoa Dr. Ndalichako kwa sababu ya dini yake tu kama inavyoonesha vielelezo vifuatavyo.
Hawawezi kueleza na kutetea hoja zao na kuthibitisha dhuluma hii, lakini kwa kuwa wameagizwa hayo kwenye nyumba za ibada, ndio maana hata ulete hoja gani huwezi kuwabadili.
Watanzania tuonee aibu mambo kama haya.
da hivi mnajua mfumo wa elimu tanzania na pillars zake. Kuna mtunga sera ya elimu, kuna mfundishaji , kuna mtunga mtihani na kuna msahihishaji. Je joyce afanya hivi vyote. Hebu fanyeni mpango muwapelekeni wanenu hata misri au irani wakasome mfunguke bwana. Hamjui tz imetunukiwa maproffesor wazuri wa kiislamu. The late proffessor haroub othman, prof. Ibrahim lipumba, prof. Safari, shivji, prof. Haidery amani hivi kwa nini hamuwaulizi wamefiakje. Tena mna watendaji mahiri wenye credibility. Dr. Idriis rashi, shamte et el.