Joyce Mukya ni nani? Pamoja na kutokuwa active kwenye Siasa bado anapeta ubunge CHADEMA zaidi ya miaka 10

mwanamwana

JF-Expert Member
Aug 1, 2011
1,076
4,113
Habari wakuu,

Tokea nimeanza kufuatilia Siasa nimekuwa nikimsikia Joyce Mukya. Nimemsikia kwa mengi kuanzia bungeni akitajwa na mpaka uraiani, bahati mbaya au nzuri sijawahi kumuona sehemu yoyote hata bungeni.

Nasikia ni mbunge wa viti maalum kupitia CHADEMA kwa zaidi ya miaka 10. Sijawahi kumuona/kumsikia akichangia hoja yoyote bungeni, Sijawahi kumuona akijenga chama kwa namna yoyote tofauti na wabunge wengine wanawake wa chadema na wanachama wengine wanawake, kifupi sio mbunge active.

Kama hafanyi haya yote amewezaje kupeta na kuwa mbunge huku wanachama wengine active ambao wanakipigania chama wakiachwa solemba kwenye ubunge na sehemu nyeti chamani.

Juzi nikamsikiliza Jerry Muro ndio nikagundua kuwa ana uhusiano wa kimapenzi na ni mama wa watoto wa Mwenyekiti Mbowe.

Katika fukunyua fukunyua ndio nikakutana na habari mbalimbali zinazohusu huyu mama na Mbowe nikakutana hizi baadhi na zenye ushahidi usioacha shaka...
1. Mhe. Freeman Mbowe na Mhe. Hilal Aeshi katika vita ya kimapenzi wakimgombania Mhe. Joyce Mukya
2. Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara
3. Freeman Mbowe na Joyce Mukya wamtumia Mjomba wa Mtoto kupata cheti cha kuzaliwa

Nikasema sawa, anapewa ubunge kwasababu ni mzazi mwenza wa Mwenyekiti wa chama, ila mbona hata waliopendelewa kwa kupewa ubunge wa vitu maalum kutokana na uhusiano wa kindugu au kingono na viongozi waandamizi wa CHADEMA wako active kwenye siasa za nchi, kulikoni huyu Joyce Mukya!?

Chama kinachojinasibu kuwa chama kikuu cha upinzani ni wakati sasa kuachana na kasumba yao ya upendeleo wa kugawa vyeo kwa undugu,kingono na kikanda. Wabadilishe mfumo wao wa uteuzi ili waweze kuwapa nafasi wengine wanaokipigania chama.

Asanteni sana.
 
Halafu wanajiita chama cha demokrasia! Demokrasia ndio hii? Huyu mama anapewa ubunge kwa ajili ya maslahi binafsi tu, hana mchango wowote kwa bunge na chama. Bora hata Mdee huleta changamoto ya matusi na mipasho.
 
CHADEMA wao wanagawa ubunge viti maalum kwa upendeleo, hebu angalia hapa
Joyce Mukya - Demu wa Mbowe
Anatropia - Demu wa John Mrema
Sabrina Sungura - Mchumba/ Kimada wa Anthony Komu
Zainab Bakar mtoto wa dada yake Said Mohammed Issa (Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa Zanzibar)
Lucy Owenya - Mtoto wa Ndesamburo
Ruth Molel - Kijana wa Lowassa
Grace Sintato Kiwelu - Mkwe wa Ndesamburo

** Mama Regina Lowassa alipewa ubunge akawachomolea.

List ni ndefu sana
 
Kwani Wema Sepetu ni mbunge wa vitu maalum?

Bora hata Wema apewe maana tokea ahamie CHADEMA amejenga chama kuliko huyu Mukya aliyepo zaidi ya miaka 10.


Mkuu Wema amejenga chama?

Chadema?

Kweli?

Basi ntamkumbuka Juliana naibu waziri wa michezo.
 
Ndio maana siasa sipendi hata kusikia.. wanasiasa ni kama wanaume ni wale wanaoongozwa ni kama mademu

Sisi wanaume tukiwa tunataka mzigo tutafanya kila hila mpaka tuchimbue palipochimbika, hata kama muhuni utajitia mwema, unaweza mtambulisha mpaka kwa dada au washkaji zako, kila hila utatumia kutegemea na upinzani unaopata, kwa wale walioupitia umalaya wananielewa vizuri..

Sasa ndio wanasiasa walivyo, waongo na wanafiki, hamna mwema, kila mtu na masilahi yake..
 
CHADEMA wao wanagawa ubunge viti maalum kwa upendeleo, hebu angalia hapa
Joyce Mukya - Demu wa Mbowe
Anatropia - Demu wa John Mrema
Sabrina Sungura - Mchumba/ Kimada wa Anthony Komu
Zainab Bakar mtoto wa dada yake Said Mohammed Issa (Makamu Mwenyekiti CHADEMA Taifa Zanzibar)
Lucy Owenya - Mtoto wa Ndesamburo
Ruth Molel - Kijana wa Lowassa
Grace Sintato Kiwelu - Mkwe wa Ndesamburo

List ni ndefu sana


Mkuu kama hutajali malizia mana tunaambiwa mkulu amejaza Ukanda wa Ziwa.
 
Halafu wanajiita chama cha demokrasia! Demokrasia ndio hii? Huyu mama anapewa ubunge kwa ajili ya maslahi bibafsi tu, hana mchango wowote kwa bunge na chama. Bora hata Mdee huleta changamoto ya matusi na mipasho.
Bora hiyo nafasi ya Mukya angepewa mwanadada mpiganaji Ndibalema, sasa hivi kajikatia tamaa kwasababu chama hakioni juhudi zake badala yake wanateua wabunge viti maalum kwa mahaba binafsi.
 
Back
Top Bottom