Sure nimekuwa nikifuatilia hoja mbalimbali kuhusu mada za ndoa, ukipitia michango mingi ya wadada wanaonekana hawako submissive kitu ambacho nimegundua huwa wanaandika kufurahisha umati.
Nje ya ground ni tofouti kabisa π nimefurahi kusikia uko submissive maana wadada wengi ambao hujiamini kupita kiasi ukiwachunguza unakuta wako vizuri kiuchumi.