Joyce Msuya

Joyce Msuya

Thanks.... But Sio ubabe as such ni msimamo tu. I can be very sweet and submissive but humu sio mahali pake.

Humu ni kwa kwa kuwa mbishi na kichwa ngumu. lol
Sure nimekuwa nikifuatilia hoja mbalimbali kuhusu mada za ndoa, ukipitia michango mingi ya wadada wanaonekana hawako submissive kitu ambacho nimegundua huwa wanaandika kufurahisha umati.

Nje ya ground ni tofouti kabisa 😄 nimefurahi kusikia uko submissive maana wadada wengi ambao hujiamini kupita kiasi ukiwachunguza unakuta wako vizuri kiuchumi.
 
No, don't get me wrong.

Huwa siandiki kufurahisha jukwaa. Na hata in real life nina msimamo wangu kuhusiana na how things should go and why.
 
K
Huu ukoo wa Msuya unawabeba sana watu wa kasikazini, koo nyingine za huko ni walevi wa mbege na utapeli mjini
kwa ulivyo andika, wakati nasoma maandishi yako na masikio yangu yamesikia sauti ya mtu mwenye uchungu moyoni, chuki na wivu!
Nina wasiwasi kama 98% ya majirani zako unaelewana nao!
 
Back
Top Bottom