Joyce Mhavile ashauriwe


Radhia Sweety, please hold your tongue! Oooops! your ....
 
sielewi kwa nini waliacha kutuonyesha mfulilizo wa Kipindi cha Tamthiliya Alhamisi na Ijumaa. Hayo Malumbano ya HOJA na Kipima Joto vinasaidia nini. watu walumbana yanaishia kwenye TV na Kipima Joto kinashia hapo hapo. tangu walipokuwa wanalumbana Mzee Mkinga na TANESCO hatua gani zilichuliwa kutokana na vipindi hivi. Aaah mimi ALH NA IJUMAA huwa siangalii Vipindi vya ITV havina mvuto.
 

Majungu forum kutoka kwa mama kwenda kwa mama. Huwachi Bi Radhia yakhe!
 

Unamaanisha akili yake itafikiri vyema akiwa na mwanaume wa kudumu au yeye akiwa mwanamke wa kudumu?:thinking:
 
Enh ababadili kama gauni(chips funga)?ukimwi kweli utaisha kama mambo yenyewe ndio hayo
 
Haters!
Its your mentality that needs be changed! Her personal lifestyle is got nothing to do with the quality of work she does. Read this quote:
"There is a special place in hell reserved for women who don't help other women" Former US Secretary of State Madeleine Albright. For someone so powerful to say something so like this she must have been referring to something extremely serious behaviour in women! She was referring to the big challenges that Hinders women from being successful, and that it is women's damaging competition with other women! By damaging meaning non productive competition that is personal

Haya, uwe na wakati murua Radhia
 
Ili kumsaidia Mhavile ~ dawa ni kumtafutia BWANA tu, kasi ya fikra na maamuzi ya mwanamke yeyote bora huchukuliwa kwa haraka sana na moto mkubwa na radiator ikipata moto lazima ipoozwe kwanza... bwana tu na atarudi kwenye mstari sahihi,
 

Chuki ya mwanamke kwa mwanamke mwingine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…