Josephine03
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 752
- 302
Ujanja mkononi huku kichwani hamna shule ama labda wanasubiri shimo la Freemasons liteme... Aaahaaa!
Kwakweli anakipaji na ana kitu confidence ambayo angeipatia exposure ya madarasa angefika mbali
Kilewo yupo humu na wajina wako yupo humu
nilishawahi kuhoji humu...is she a super woman?..kama anavyojiita!?
Mwacheni huyu dada..nguo za ndani zipo tofaut tofaut hasa kwa kina mama...wanaume tuna boxer,bukta;vest zote ni nguo za ndani,..kina mama ndo usiseme..chupi;bikini,shumizi;sidiria nk sasa cha ajabu apo nini,,,watanzania wengi bado ni wanafiki sana mambo ya kipuuzi mnashadadaia eti shule..hao walioelimika wakapewa wizara wamewafanyia nini zaidi ya kuwaibia kodi zenu...shatap!
Yaani nimefungua TV namkuta J Kiria anafanya mahojiano na watu wazima sijajua subject ila akaaza kumlaZimisha yule mzee mmoja ataje nguo za ndani ni zipi yule mzee kwa ustaarabu hakutaja, akampoint mwingine naye ktk kuchangia akasema si vizuri beki3 kufua nguo za ndani za mabosi, sasa hapa akamng'ang'ania azitaje na yule kwa maneno ya haiba akataja pichu....... Naona mbele kama wameedit maana ikaruka. Namshauri elimu sio form 1- 6 kama anavyofikiria alafu hajachelewa she is still young for her Carrier. Mlio karibu naye msaidieni
nilishawahi kuhoji humu...is she a super woman?..kama anavyojiita!?
Ana juhudi but kinachomuangusha ni darasa so umefika wakati wa yeye wa kwenda shule no matter what! ni ushauri tu
kuweni wakweli, kwa umri ule Joyce anaweza kuanza form one kweli? kumbukeni ameishia darasa la saba hapo alipo. aanze form one hadi six, ndipo aje chuo si atakuwa kishazeeka jamani?? cha muhimu ni kumshauri afanye shughuli nyingine kama kuendeleza biashara zake na Kilewo na hii ya utangazaji awaachie wenye fani