..hata akihama hamna shida...Malaya wa kisiasa Hawa....yeye sawa na wema tu...wako kimaslahi zaidi....huyu Joyce hata akihama ameshatiwa vya kutosha na kilewo....wacha wakamle zaidi huko ccm...
Nyie mbona waliopigania Chama mnawatosa mnawapa mamluki na masalia ya CCM? Kama mnalalamika kuwa CCM ni wabovu kwa nini mnasubirishiaga chaguzi zenu mpaka Mgambo (i.e. CCM) waruke na kukanyagana kwenye chaguzi zao na nyie ndio mnapata mabaki.
Mbona vita maalumu viongozi wenu walikuwa wakiwagawia nafasi vitoweo vyao na siyo nyie ma-kajampa nani kama wenzetu?
That’s true, kileo aliona mwenzie kafatwa na matarumbeta kulazimishwa atoe talaka, akaingia kichwa kichwa. Ila bora kaachana na huu mkosi japo kwa kudhalilishwa Nchi nzima
Mwanaume kosea vyote sio kuoa,ndio mana zamani wazazi walikua wanataka mtoto wao aoe karibu ili kujua vizuri familia ya upande wa pili.
Huyu ni kichaa kabisa stress zanamkojolesha
wachungaji wengi wanapoanza huduma, wakiwa wamejaa Roho, mahubiri kama haya huwa hawagusi, ila wakikusanya sadaka siku zote huwazodoa wasio na hela. sikubaliani naye.