Yeye anajinadi Kama Mwanaharakati wa haki za wanawake!
Lakini anashindwa kubalance na swala zima la utolewaji wa haki nyingine Kwa makundi mengine ya watu Kwenye jamii!
Maana Joyce yeye anawaunga mkono wale ambao pengine wanaminya haki nyingine Kama vile haki ya kutoa maoni /kukosoa (freedom of speech), haki ya mtuhumiwa kupewa dhamana, haki ya mtuhumiwa kufikisha mahakamani ndani ya saa 24, hayo Kwa Joyce siyo tatizo , Ila tatizo lake liko Kwa wanaume tu!
Ndipo nilipomuona Kumbe she is hopeless!