Joyce Banda safari imemuwadia. MAMBO KUMI YANAYOSHANGAZA

nimeipenda. sasa je banda wa malawi na banda wa zambia ni ndugu? au kuna mmoja alioa mara mbili.
hivi mke wa mandelea ni wa wapi?

Ukizitazama vizuri hizi nchi za Malawi na Zambia utagundua
kuwepo muingiliano mkubwa sana wa kinasaba, ndiyo maana
hata waasisi wao walikuwa na tatizo la uraia baina ya nchi
hizi mbili. Hata tamaduni na tabia zao zinafanana kwa kiasi
kikubwa mno...
 
Bado yapo mengi mkuu yakushangaza juu ya nchi hizi mbili
Ni kweli mkuu, ukizitazama vizuri hizi nchi za Malawi na Zambia utagundua
kuwepo muingiliano mkubwa sana wa kinasaba, kuanzia kwa mtawala wao
mkoloni (Muingereza), ndiyo maana hata waasisi wao walikuwa na tatizo la
uraia baina ya nchi hizi mbili. Hata tamaduni na tabia zao zinafanana kwa kiasi
kikubwa mno...
 
Nchi pacha AFRIKA na kwingineko duniani. Mara nyingi hutajwa pamoja na zina mambo mengi yanayofanana.

3. TANZANIA NA KENYA.

Mambo yanayofanana kati ya Tanzania na Kenya

1. Nchi zote (Tanzania na Kenya) zilikuwa kituo cha soko la watumwa katika karne ya 19.
2. Nchi zote zilikuwa chini ya milki ya Ujerumani ya nchi lindwa (protectorate) chini ya
Sultan wa Pwani wa Zanzibar mnamo 1885, kabla ya kuwa katika ukoloni wa Uingereza.
3. Nchi zote ziliingizwa katika mipango iliyofanana ya kutenganishwa kwa matabaka wakati
wa utawala wa kikoloni: sehemu ndogo iliwekwa kwa Waafrika, wakati sehemu kubwa ikienda
kwa wakoloni weupe.
4. Nchi zote zilipata uhuru wake miaka ya mwanzoni mwa 1960.
5. Nchi zote zilikumbwa na mashambulio ya kigaidi ya 7 Agosti 1998 kwa wakati mmoja
yaliyotokea katika miji ya Dar es Salam na Nairobi kwa kulipusha malori yaliyojaa baruti mbele
ya balozi za Marekani, ambapo watu 224 waliuawa na maelfu kujeruhiwa.
6. Nchi zote zinatumia sarafu ya Shilingi

Hapa ndipo mfanano unapoishia-kwa mtazamo wa haraka. Kwa sababu ya kuwa nchi jirani.

Wakati Kenya ilichukua mlengo wa kibepari baada ya uhuru, aliyekuwa Rais wa Tanzania
Julius Nyerere aligeukia mlengo wa kushoto, akiipeleka nchi huko, baada ya kuanzisha
Azimio la Arusha aliloliandika na kuridhiwa na TANU, na kuwa n siasa za Ujamaa...
 
1. Nchi zote Malawi na Zambia zilipata uhuru mwaka 1964 na zote hutumia pesa aina ya Kwacha. Marais wake wote, Dk. Kamuzu Banda (Malawi) na Dk. Kenneth Kaunda (Zambia) walizitumikia nchi zao katika nafasi za urais kwa muda mrefu na asili zao zinatatanisha, hawaeleweki kama ni Wamalawi na Zambia. Wote Kamuzu na Kaunda walikuwa na kaulimbiu inayofanana ya “Wamuyaya” (Life) ikiwa na ishara ya mamlaka.

2. Bakili Muluzi, alizaliwa 1943, ndiye aliyechukua madaraka kutoka kwa Kamuzu Banda. Fredrick Chiluba, alizaliwa 1943, ndiye aliyechukua madaraka kutoka kwa Kenneth Kaunda, na wote wawili Muluzi na Chiluba walifanya jaribio la kutaka kubadili Katiba ili wapate kipindi cha tatu cha uongozi lakini walishindwa. Wote Muluzi na Chiluba waliwataliki wake zao kwa sababu ya kukosekana uaminifu kwenye ndoa.

3. Wote, Muluzi na Chiluba waliwapeleka watangulizi wao mahakamani (Dk. Banda na Dk. Kaunda).

4. Bakili Muluzi alimpendekeza Bingu wa Mutharika kuchukua nafasi yake, wakati Frederick Chiluba alimpendekeza Levy Mwanawasa kuchukua nafasi yake na wote waliwafanyia kampeni wakati wa uchaguzi.

5. Wote Mutharika na Mwanawasa walishinda uchaguzi na kuwa marais wa tatu katika nchi zao.

6. Muda mfupi baada ya kuchaguliwa kuwa marais, wote Mutharika na Mwanawasa walishindwa kuwabeba (kuwavumilia) watangulizi wao Muluzi na Chiluba. Wote wawili, Mutharika na Mwanawasa waliwapeleka watangulizi wao (Muluzi na Chiluba) mahakamani kwa makosa ya kujihusisha na rushwa. Sasa inavutia zaidi; Muluzi alishtakiwa na utawala wa Mutharika. Chiluba alishtakiwa na utawala wa Mwanawasa.

7. Bingu wa Mutharika alishinda kipindi cha pili cha uongozi, Mwanawasa alishinda kipindi cha pili cha uongozi. Mutharika alimchagua Joyce Banda kama Makamu wake wa Rais. Mwanawasa alimchagua Rupiah Banda kama Makamu wake wa Rais.

8. Mutharika alifariki akiwa madarakani katika kipindi chake cha pili kwa matatizo ya moyo (Cardiac Arrest). Mwanawasa pia alifariki akiwa madarakani katika kipindi chake cha pili kwa matatizo ya moyo (Cardiac Arrest).

9. Joyce Banda alichukua madaraka kutoka kwa Bingu wa Mutharika kutokana na kifo hicho. Rupiah Banda alichukua madaraka kutoka kwa Levy Mwanawasa kutokana na kifo hicho. Marais wote hawa waliochukua madaraka kutoka kwa marehemu waliitwa “Banda”!

10. Baada ya miaka 3, Rais Banda wa Zambia alishindwa kwenye uchaguzi na mpinzani wake Michael Sata. Banda wa Malawi naye ameshindwa kutetea kiti chake na mpinzani wake Peter
upload_2017-10-8_11-33-19.gif
upload_2017-10-8_11-33-19.gif
 
1. Nchi zote Malawi na Zambia zilipata uhuru mwaka 1964 na zote hutumia pesa aina ya Kwacha. Marais wake wote, Dk. Kamuzu Banda (Malawi) na Dk. Kenneth Kaunda (Zambia) walizitumikia nchi zao katika nafasi za urais kwa muda mrefu na asili zao zinatatanisha, hawaeleweki kama ni Wamalawi na Zambia. Wote Kamuzu na Kaunda walikuwa na kaulimbiu inayofanana ya Wamuyaya (Life) ikiwa na ishara ya mamlaka.

2. Bakili Muluzi, alizaliwa 1943, ndiye aliyechukua madaraka kutoka kwa Kamuzu Banda. Fredrick Chiluba, alizaliwa 1943, ndiye aliyechukua madaraka kutoka kwa Kenneth Kaunda, na wote wawili Muluzi na Chiluba walifanya jaribio la kutaka kubadili Katiba ili wapate kipindi cha tatu cha uongozi lakini walishindwa. Wote Muluzi na Chiluba waliwataliki wake zao kwa sababu ya kukosekana uaminifu kwenye ndoa.

3. Wote, Muluzi na Chiluba waliwapeleka watangulizi wao mahakamani (Dk. Banda na Dk. Kaunda).

4. Bakili Muluzi alimpendekeza Bingu wa Mutharika kuchukua nafasi yake, wakati Frederick Chiluba alimpendekeza Levy Mwanawasa kuchukua nafasi yake na wote waliwafanyia kampeni wakati wa uchaguzi.

5. Wote Mutharika na Mwanawasa walishinda uchaguzi na kuwa marais wa tatu katika nchi zao.

6. Muda mfupi baada ya kuchaguliwa kuwa marais, wote Mutharika na Mwanawasa walishindwa kuwabeba (kuwavumilia) watangulizi wao Muluzi na Chiluba. Wote wawili, Mutharika na Mwanawasa waliwapeleka watangulizi wao (Muluzi na Chiluba) mahakamani kwa makosa ya kujihusisha na rushwa. Sasa inavutia zaidi; Muluzi alishtakiwa na utawala wa Mutharika. Chiluba alishtakiwa na utawala wa Mwanawasa.

7. Bingu wa Mutharika alishinda kipindi cha pili cha uongozi, Mwanawasa alishinda kipindi cha pili cha uongozi. Mutharika alimchagua Joyce Banda kama Makamu wake wa Rais. Mwanawasa alimchagua Rupiah Banda kama Makamu wake wa Rais.

8. Mutharika alifariki akiwa madarakani katika kipindi chake cha pili kwa matatizo ya moyo (Cardiac Arrest). Mwanawasa pia alifariki akiwa madarakani katika kipindi chake cha pili kwa matatizo ya moyo (Cardiac Arrest).

9. Joyce Banda alichukua madaraka kutoka kwa Bingu wa Mutharika kutokana na kifo hicho. Rupiah Banda alichukua madaraka kutoka kwa Levy Mwanawasa kutokana na kifo hicho. Marais wote hawa waliochukua madaraka kutoka kwa marehemu waliitwa Banda!

10. Baada ya miaka 3, Rais Banda wa Zambia alishindwa kwenye uchaguzi na mpinzani wake Michael Sata. Banda wa Malawi naye ameonekana kushindwa kutetea kiti chake na mpinzani wake Peter Mutharika. hivyo, Joyce Banda safari ya kuondoka ikulu imewadia...

cc Bishop Hiluka
Historia inaenda kujirudia na huku kwa Bi Banda wa Visiwani
 
Back
Top Bottom