Nilikua naangalia Al Jazeera leo asubuhi Joyce Banda anahojiwa ikiwa ni mwaka mmoja tangu aingie madarakani alipoulizwa kuhusu mgogoro wa Nchi yake na Tanzania juu ya ziwa Nyasa akajibu " I am 62 yrs Old and i knw that lake to belong to no one rather than Malawi" kwa view yangu kama swala hili limeshafikishwa kwenye vyombo husika vya usuluhishi au kama wanavyotaka wao kulipeleka ICJ kauli kama hii ni insultation kw taifa la Tanzania. She luck respect kwa Watanzania![/QUOTE]
Ukimaanisha?
yule mama ni mfa maji...anatapatapa maana mambo yake kisiasa nchini malawi si mazuri sana
uwii simpendi
anaitetea nchi yake hana utani!
No she is not. She is really mentally weak. She can not even remember that, you can easily choose a friend but there is no way you can choose a neighbour.She is arrogant!
Sauti yake Sarah palin inaniumiza kichwa.Hiyo ya Joyce Banda sijui itakuwajeHahaha Sarah palin kw lipi? Skuiz naskia karud kua activist sijui na yule mwanaye alijifungua ana miaka 16 boyfnd wake 17 ndo wakammaliza kbsa kisiasa
Nilikua naangalia Al Jazeera leo asubuhi Joyce Banda anahojiwa ikiwa ni mwaka mmoja tangu aingie madarakani alipoulizwa kuhusu mgogoro wa Nchi yake na Tanzania juu ya ziwa Nyasa akajibu " I am 62 yrs Old and i knw that lake to belong to no one rather than Malawi" kwa view yangu kama swala hili limeshafikishwa kwenye vyombo husika vya usuluhishi au kama wanavyotaka wao kulipeleka ICJ kauli kama hii ni insultation kw taifa la Tanzania. She luck respect kwa Watanzania!